Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

narudia kukuliza unaeza nipa height ya hio piv ilipopigwa maana naona mpaka clouds tena ziko far from the pic ilipochukuliwa alaf unipe the use of aerial view sihitaji porojo nataka akili ndogo tu😀😀😀😀😀😀
angalia height ya hii pic kibera nairobi
aerial-view-of-suburbs-of-nairobi-kenya-picture-id621191824
Nairobi_Kibera_04.JPG
Asante kwa kuniwekea picha za kibera sasa leta yenye iko na kibera, cbd, korogocho, upperhill alafu unitag😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
umeshindwa kujibu swali langu??😀😀😀😀
maji ya shingo au sio😛😛😛😛 bongo ni motooo gusa ukuunguze
 
nijibu swali kwa kutumia akili ndogo tu the height of the pic???? and the use of aerial view???
hii ni aerial view ya california we unaona nn hapo??? au hujui maana ya aerial view
images
***** kubali dar ni slum yaishe😀😀😀😀😀😀😀😀
 
narudia kukuliza unaeza nipa height ya hio piv ilipopigwa maana naona mpaka clouds tena ziko far from the pic ilipochukuliwa alaf unipe the use of aerial view sihitaji porojo nataka akili ndogo tu😀😀😀😀😀😀
angalia height ya hii pic kibera nairobi
aerial-view-of-suburbs-of-nairobi-kenya-picture-id621191824
Nairobi_Kibera_04.JPG
Hakuna sehemu ya hovyo Africa kama Nbo [HASHTAG]#Kibera[/HASHTAG] nahii ndio tafsiri ya wakenya walivyo
 
umeshindwa kujibu swali langu??😀😀😀😀
maji ya shingo au sio😛😛😛😛 bongo ni motooo gusa ukuunguze
Bongo ni moto kweli
tapatalk_1524037550415.jpeg
ila mtu anaona😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀k
 
Back
Top Bottom