Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ok hatuna hela
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
nenda ka pop champagne kwa sababu ya ukuta wa tanzanite sasa
emoji23.png
emoji23.png
huo ndio uanamume hata kama unakubali kukalia kuti kavu madamu unakubali ndio uanamume😀😀
12972EB4-86CB-415C-A6CC-DED3635D6842.jpeg
 
i'm called kadoda11, jizeee la 60s,the one man army.
this time around i'm taking down all kenyans single-handedly.

hahahaha i love this mind game thing.
nashangazwa na tabia zako sana we jamaa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
umri hauendani na tabia kabisa
emoji23.png
emoji23.png
 
Hahaha,kinyago,Weka fake posts hata Mara elfu moja ,asiekujua humu kua wewe ni gwiji wa kufake I'd za watu nani? repost 10X lakini haitabadili ukweli kua wewe ni ajuza anaetokwa na udenda mdomoni........Pole Babu wamo humu watu wanaonijua vizuri na ujinga unafake kuweka hapa unazidi kudhihirisha kuwa upumbavu wako.
FB_IMG_1523522792485.jpg
FB_IMG_1523522796803.jpg
 
whre is that old man? skuizi naona amekoma kwnda Twitter na youtube kutafta comments za wakenya

nikipost huwa mnalia na kuomba msamaha... nisipo post huwa mnauliza kwanini sipost.

wahenga husema mtoto akililia wembe mpe auchezee.

tuanze na hizi screenshot za ukora unaofanyika kila siku hapo nairobi. remember unemployment=ukora.

IMG_20180412_154038.jpg
IMG_20180412_154053.jpg
IMG_20180412_154119.jpg
 
huo ni ujenzi wa jengo gani 😀😀😀
is that pinnacle or montave or nairobi88😛😛😛
kumbe CBK pension 27fl matus mengi nikajua umetuletea zile renders nilizotaja hapo juu 😀😀
ni sawa na hii tu nyie munaanza sisi tunaelekea kumaliza
View attachment 742018
Manina jengo la gorofa kumi na lime topout ndio unalinganisha na cbk pension ,ulitisha picha nikakuletea wacha hadithi mingi
 
Manina jengo la gorofa kumi na lime topout ndio unalinganisha na cbk pension ,ulitisha picha nikakuletea wacha hadithi mingi
gorofa 10 hehe aliekwambia nani au ulijua hapo mwisho hehehe😀😀😀😀 we unataka kufananisha speed of develepment kati ya nai na dar hvi dar utaiweza kweli??
 
Hahaha uyo bwege anasema sijafika university kumbe ni shoga?
Tunaishi na mapunga humu jamvini ndio maana mambo hayakai sawa...
Back to the thread tunaendelea na ujenzi wa daraja la 2.8km kutoka stesheni hadi buguruni...hii hamjawahi kuota

Kazi by nov 2019 inakabidhiwa rasmi ya ilo daraja...

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app



Bwege ni mamako, University hujafika kwani ni siri?,,,,,Ambia huyo ajuza aendelee kupost fake posts from fake IDs bila shaka yupo hapa kufurahisha wapumbavu wenzake kama wewe.
 
Back
Top Bottom