Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NINI IMECHANGE FROM AUGUST 2O17
Achana na hizi story kwanza, habari ya mjini niniwamba Kenya imepata barabara za BRT, kwa kutumia njia ya kuchora, sio kujenga kama nchi zingine zinavyofanya, hii habari ndiyo inayo trend kwa sasa duniani, CNN, BBC, Aljazeera zote zinarusha Live kutoka Kibera[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaniii....., maji ya jumvi imalizi kiu...uko dar....
Sasa huyo mwenzako amesema ni tastless, wewe unasema yana chumvi, mbona mnatapatapa?. Source ya maji ya Dar ni river Ruvu sio underground, na huo mto Ruvu hutegemea mvua, kwahiyo maji ya Dar ni sawa na bottled mineral water, njoo uje upumzike Dar, Nairobi hata maji ya kunawa uso asubuhi ni shida.
 
Naona leo mnawapa darasa kuhusu maji, wanatapa tapa mara tasteless mara chumvi!! maji safi na salama
 
ha haaa kabisa ...wakenya oyeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…