ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
hasira zimekubamba hahhaha😀😀😀😀😀😀😀Tuko Europe babaa hebu soma rangi Ya Kenya ulinganishe na Europe ama hata Merikani😀😀😀😀
![]()
hasira zimekubamba hahhaha😀😀😀😀😀😀😀Tuko Europe babaa hebu soma rangi Ya Kenya ulinganishe na Europe ama hata Merikani😀😀😀😀
![]()
Gmorning...hv Kenya mko na meggawatts ngap ya umeme kwa sasa...Eti nisiforce tufanane?? Hehehe..that must be the joke of the year. sina hata tamaa ya mimi na wewe tufanane wala nchi yangu kenya kufanana na Tanzania. Mbona nitake kenya ifanane na nchi ldc kama Tanzania? You are not and will never be our role models so usiforce kitu haipo. Najua ukweli inauma ila ntakukumbusha tu kwamba jiji lenu mmejaza changaduo ( dream houses) kila corner bila kuwa na mpangilio. Nyumba za gable zenye bati zilozirust kila mahali halafu mnapiga kelele hapa!
Are you color blind my friend hebu niambie kama Kenya iko na rangi ya hudhurungi au nu Khaki? jibu pole pole bila hasirahasira zimekubamba hahhaha😀😀😀😀😀😀😀
so ur develepod ryt??? not developing sindio😀😀😀😀😀Are you color blind my friend hebu niambie kama Kenya iko na rangi ya hudhurungi au nu Khaki? jibu pole pole bila hasira
Ndugu yangu tujadili mambo mengine lakini sio swala la barabara coz hapo Dar haina usemi mbele ya Nairobi. nawaambia outtering bado inajengwa na mnazidi kuuliza kuhusu bus stops aliyewaambia hazitonjengwa ni nani? Kama zilewekwa Ngong rd, langata rd thika rd na barabara zingine nyingi zilizojengwa hivi majuzi mbona mnaona outtering ndio zitakosekana? Wacha hata pedestrian paths, hiyo barabara hata taa hazijawekwa. Tukianza kujadili barabara za Dar na Nairobi hapo mtakuwa mnatafuta aibu.iko undercosntruction vp na hakuna sehemu wamejenga pedestrian path ?????😀😀😀😀
Good morning my brother from a country of terroristsTuko Europe babaa hebu soma rangi Ya Kenya ulinganishe na Europe ama hata Merikani😀😀😀😀
![]()
Napenda sana diamond tena mimi ni mfuasi mkubwa sana wa nyimbo zake ila kumuabudu ndio siwezi. Mtu mzima anashinda akituletea story za diamond asubuhi hadi jioni mbona nisiseme anamuabudu?we diamond humepndi kisa mtanzania??😀😀
tusijadili vp wakat munajenga outering bila pedestrian path munategemea nn zaidi ya vifo taa sio issue hapa tunajadili njia za watembea kwa miguu watu wanakufa kwasababu hawana sehemu za kutembea wakat mwingine kwenye ukweli mukubali ukweli na kwenye udhaifu ukubali pia unapinga nn wakat watu wenyewe wameongea wanakufa we vpNdugu yangu tujadili mambo mengine lakini sio swala la barabara coz hapo Dar haina usemi mbele ya Nairobi. nawaambia outtering bado inajengwa na mnazidi kuuliza kuhusu bus stops aliyewaambia hazitonjengwa ni nani? Kama zilewekwa Ngong rd, langata rd thika rd na barabara zingine nyingi zilizojengwa hivi majuzi mbona mnaona outtering ndio zitakosekana? Wacha hata pedestrian paths, hiyo barabara hata taa hazijawekwa. Tukianza kujadili barabara za Dar na Nairobi hapo mtakuwa mnatafuta aibu.
hakuna mtu anamuabudu diamond by the way diamond kwa tanzania anaonekana ni mtu wa kawaida sana kwasbabu anaupinzani mkali kutoka kwa wasanii wengi sanaNapenda sana diamond tena mimi ni mfuasi mkubwa sana wa nyimbo zake ila kumuabudu ndio siwezi. Mtu mzima anashinda akituletea story za diamond asubuhi hadi jioni mbona nisiseme anamuabudu?
Vipi ndugu zetu, hii mvua inayoendelea huko, imesaidia kupungunza hii aibu mnayopata kila mwaka ya kusaidiwa chakula?Napenda sana diamond tena mimi ni mfuasi mkubwa sana wa nyimbo zake ila kumuabudu ndio siwezi. Mtu mzima anashinda akituletea story za diamond asubuhi hadi jioni mbona nisiseme anamuabudu?
Doing fine bro I can see you have an affinity to anything LDC.😉Good morning my brother from a country of terrorists
Kenya ranked as 'failed state'
munakosa mpaka pesa yakununua karatasi😀😀Tuko Europe babaa hebu soma rangi Ya Kenya ulinganishe na Europe ama hata Merikani😀😀😀😀
![]()
Vipi kuhusu tatizo la kusaidiwa chakula, limepungua?, stupid countryDoing fine bro I can see you have an affinity to anything LDC.😉
Kama kutoa risasi kwa Tundu Lisu ndio iliwashinda na kumleta kenya sasa kutibu cancer ndio mtaweza? hahahaWe ha best public Hospitals in East and Central Africa, hiyo huwezi kubisha hata Kidogo, wagonjwa wengi wa moyo na cancer toka nchi za DRC, Uganda, Kenya, Burundi, Malawi, Zambia na Commoro wanakuja Tanzania badala ya India, tuna official MoU na Serikali za nchi nyingi kuleta wagonjwa kutibiwa Tanzania.
ndugu yangu kwenye cancer tanzania sio mwenzenuKama kutoa risasi kwa Tundu Lisu ndio iliwashinda na kumleta kenya sasa kutibu cancer ndio mtaweza? hahaha
😀😀😀😀Vipi kuhusu tatizo la kusaidiwa chakula, limepungua?, stupid country
Kikuyus MOCK Uhuru for Receiving Food Donations from Desert Country Emirates Yet Jubilee STOLE Money for Galana Irrigation Project
You must have been a dunder in your classtusijadili vp wakat munajenga outering bila pedestrian path munategemea nn zaidi ya vifo taa sio issue hapa tunajadili njia za watembea kwa miguu watu wanakufa kwasababu hawana sehemu za kutembea wakat mwingine kwenye ukweli mukubali ukweli na kwenye udhaifu ukubali pia unapinga nn wakat watu wenyewe wameongea wanakufa we vp
na tundu lissu aliketwa kwenu kwasababu za kiusalama tu ni sawa raila apigwe risasi alaf jiulize familia yake watakubali atibiwe kenya????Kama kutoa risasi kwa Tundu Lisu ndio iliwashinda na kumleta kenya sasa kutibu cancer ndio mtaweza? hahaha