ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
HomeKama kutoa risasi kwa Tundu Lisu ndio iliwashinda na kumleta kenya sasa kutibu cancer ndio mtaweza? hahaha
Unatarajia gazeti la tanzania iandike nini? Linawezasema tanzania Inapokea wagonjwa kutoka hadi India na USndugu yangu kwenye cancer tanzania sio mwenzenu
soma hapa chini
Cancer patients cross into TZ for treatment
View attachment 734934
subiri nikuletee 😀😀😀Unatarajia gazeti la tanzania iandike nini? Linawezasema tanzania Inapokea wagonjwa kutoka hadi India na US
Hessy anafanya kazi muruaa.
tusibishane sana😀😀😀😀😀
Lazima tu ungesema hivyo. Vipi tena Kenya inakuwa na usalama wakati nyinyi ndo mnajua vile huku hakuna usalama?na tundu lissu aliketwa kwenu kwasababu za kiusalama tu ni sawa raila apigwe risasi alaf jiulize familia yake watakubali atibiwe kenya????
Actually The citizen ni gazeti la Kenya lenye branch lake Tanzania, ni kama KCB, ukitaka ushahidi vuka mpaka uje ujionee wakenya walivyojaza vitanda vya Ocean Road Hospital, kwenye Hospitali bor, Tanzania inapambana na South Africa pekee kusini mwa jangwa la sahara, meza hiyo pill.Unatarajia gazeti la tanzania iandike nini? Linawezasema tanzania Inapokea wagonjwa kutoka hadi India na US
Hahahahaha, endelea kujifajiri wakati nini ni failed state, only seven countries in whole world.😀😀😀😀
Top 12 Poorest Countries in Africa
- Zambia. GDP Per Capita: $911. ...
- Sierra Leone. GDP Per Capita: $901. ...
- Liberia. GDP Per Capita: $900. ...
- Niger. GDP Per Capita: $896. ...
- Ethiopia. GDP Per Capita: $859. ...
- Guinea-Bissau. GDP Per Capita: $856. ...
- Burundi. GDP Per Capita: $753. ...
- Tanzania. GDP Per Capita: $720.
https://www.google.com/url?sa=t&rct...-africa.html&usg=AOvVaw1bBVwjcLhd0ON-zHmRDAE5
![]()
Mbona unauliza maswali ya std three pupil?, sasa muulize Tundu Lissu aliyeamua kuja huko, by the way hata yeye amelalamika kwamba Kenya huduma zenu ni mbovu sana, hamjui lolote ndiyo sababu amehamishiwa Belgium ambako waligundua makosa mengi sana yaliyofanywa Nairobi, wameanza kumtibu upya, stupid country.Lazima tu ungesema hivyo. Vipi tena Kenya inakuwa na usalama wakati nyinyi ndo mnajua vile huku hakuna usalama?
anatuonesha laana mlioachiwa😀😀😀
Napenda nikiwacombine nyote wawili. Hebu mnionyeshe jina Tanzania afu mnitag mkipata😛😛😛Hahahahaha, endelea kujifajiri wakati nini ni failed state, only seven countries in whole world.
Kenya ranked as 'failed state'
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
😀😀😀😀
Top 12 Poorest Countries in Africa
- Zambia. GDP Per Capita: $911. ...
- Sierra Leone. GDP Per Capita: $901. ...
- Liberia. GDP Per Capita: $900. ...
- Niger. GDP Per Capita: $896. ...
- Ethiopia. GDP Per Capita: $859. ...
- Guinea-Bissau. GDP Per Capita: $856. ...
- Burundi. GDP Per Capita: $753. ...
- Tanzania. GDP Per Capita: $720.
https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=3&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwjM5Imu0qLaAhVFxRQKHfheD-4QFgg8MAI&url=https://answersafrica.com/top-10-poorest-countries-in-africa.html&usg=AOvVaw1bBVwjcLhd0ON-zHmRDAE5
![]()
A person from failed state, hawezi kuwa na akili ya kujenga hojaNapenda nikiwacombine nyote wawili. Hebu mnionyeshe jina Tanzania afu mnitag mkipata😛😛😛
![]()
Nimekuambia tusibishane kuhusu barabara, hapo unatafuta aibu. nikikuuliza uniletee barabara za Dar niko sure utaleta mbili au tatu za maana kisha ukose kitu ya kuleta tena
Ni ushabiki inakusumbua ndugu, naelewa.Actually The citizen ni gazeti la Kenya lenye branch lake Tanzania, ni kama KCB, ukitaka ushahidi vuka mpaka uje ujionee wakenya walivyojaza vitanda vya Ocean Road Hospital, kwenye Hospitali bor, Tanzania inapambana na South Africa pekee kusini mwa jangwa la sahara, meza hiyo pill.
Nadhani habari hii itawagusa zaidi ndugu zetu, kwasababu watakuwa na uhakika japo wa milo miwili kwa siku, huku sisi tunakula mara nne kwa siku.