Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nbo this Nai that mji ulisumbua miaka ya 1990 sio leo tena...muda wenu ilishakwisha,dar imetake over msilie sana
...
K'nyama kila angle imepambazuka..Millenium tower imesimama wima more high rise zajaView attachment 730785View attachment 730786View attachment 730791View attachment 730793

you want to fool us that the 3 million Dar residents live in that small area....Lol.We are past all these pretense ....afadhali hata mpost events in Dar.....why are you guys so obsessed with your sorry cbd that much that every photo must be from there ...
smh
 
wow leo nimefurah bro kwa kutuonesha 2 big renders thanks alot montave and pinnacle 😀😀😀😀
i love renders alot
View attachment 729955
welcome bro😀😀😀 lakini nashangaa sana mbona pinnacle na montave huwa inakushtua hivi😀😀😀 nilidhani ni white elephant...usipatwe na pressure kwa ajili ya tembo mweupe bro😀😀...naona mishipa kichwani😀😀😀
 
Hivi humo abiria wana kaa ata zaidi dakika 20 kweli au kuna wengine wana kua on transit kama kwenye ndege? Mchina amewazingua sana, ametia nguvu kwenye vituo kuliko kwenye rail na trains
pengine tuseme trains...kila kitu kingine kiko sawa including rail track, stations, container depots, tunnels and bridges...train tu ndio hata mie huwa nasikitika sana ninapoona bado ni diesel...
 
Times ni 30flr
Usitufanye wajinga
Enzi nafika nairobi 2009 nilikuwa mshamba wa matowers nilikuwa nikihesab sana
20014 nayo nilienda kuchukua spear
This is a confirmation that Tanzanians ALWAYS don't know what they talk about. Nyinyi bora mmeongea. Wewe unasema 30 na mwenzako ichoboy anasema 33. Sasa tuamini nani anasema ukweli?
 
USIU
usiu-building-university-nairobi-architecture-beglinwoods-architects-1.jpeg
 
An estate in Dar hehehe... This comparison is useless. Msiniulize thibitisho please
6898.jpg
 
welcome bro😀😀😀 lakini nashangaa sana mbona pinnacle na montave huwa inakushtua hivi😀😀😀 nilidhani ni white elephant...usipatwe na pressure kwa ajili ya tembo mweupe bro😀😀...naona mishipa kichwani😀😀😀
uahahha hua nafurah sana kuona renders coz i love renders so much😀😀😀😀😀
 
This is a confirmation that Tanzanians ALWAYS don't know what they talk about. Nyinyi bora mmeongea. Wewe unasema 30 na mwenzako ichoboy anasema 33. Sasa tuamini nani anasema ukweli?
ila usituambie 38😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom