Hadithi bla bla na tpa ni 36flrs wala sio 40 kichaa weweTumia akili wewe jamaa
Naweza kupiga picha nyumba yng ikaonekana ndefu kuliko TPA ambayo ni 40flr
Apo ni distance
Apo UHURU HEIGHTS iko karibu na mpiga picha ukilinganisha na MNF
Na ngoja picha latest kaka na kama kutakua na gap ya more than 3floors nitatoka jamii forum, mimi si mbishi wa kijinga dar cbd kwa sasa imeiweza nairobi labda tungoje miaka ijayo hadi kina pinnacle na avic zikamilike,east africa majengo yote marefu yako dar pta, pspf, ppf, mzizimaIyo picha ni zaman. ..angalia picha za sasa iyo nyumba bado inaendelea kwenda juu, tower B apo Ni flr 33 na tayar iko topped off...ufala mlizaliwa nao
asante kwa kukubali ukweli kua dar CBD imeiweza nairobi tunataka watu kama nyie😀😀😀😀Na ngoja picha latest kaka na kama kutakua na gap ya more than 3floors nitatoka jamii forum, mimi si mbishi wa kijinga dar cbd kwa sasa imeiweza nairobi labda tungoje miaka ijayo hadi kina pinnacle na avic zikamilike,east africa majengo yote marefu yako dar pta, pspf, ppf, mzizima
Hebu Google search Kutoka CBD hadi mwisho wa dual carriageway ya Thika road uone hautapost jibu hapa kwa kushikwa na wivu.Kuna Mmoja alituambia kutoka CBD ya NBO mpaka Kasarani ni 22 Km.... Shiiiittt!!!
Google Map inaonyesha 14 Km
View attachment 730945
Bro hapo ni 10+ km away from CBD, don't expose your Highest levels of Ignoranceyou want to fool us that the 3 million Dar residents live in that small area....Lol.We are past all these pretense ....afadhali hata mpost events in Dar.....why are you guys so obsessed with your sorry cbd that much that every photo must be from there ...
smh
Hapo sasa watakuvamia kama nyuki....I remember we had this duscussion late last year and they insisted TPA has 40 floors wakati ambapo even the official TPA website says it's 36 floors. Hawa watu ni vilaza wa ajabuHadithi bla bla na tpa ni 36flrs wala sio 40 kichaa wewe
Kweli hamna jipya



That shows the distance of picture taken