mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Rudi economics class uelewe maana ya PPP na mapungufu yake kupima uwezo wa Nchi kiuchumi.Mkizidiwa hua mnakua na maneno mengi yasionatija upuuz upuuz tu
Rudi economics class uelewe maana ya PPP na mapungufu yake kupima uwezo wa Nchi kiuchumi.Mkizidiwa hua mnakua na maneno mengi yasionatija upuuz upuuz tu
Mkizidiwa unasema mmetuzidi unaleta hoja nyingine sio kinichambulia mdhaifu na blablah mob...mbona wakt mlikua mbele hamkuwah lisemea Ilo? ?Rudi economics class uelewe maana ya PPP na mapungufu yake kupima uwezo wa Nchi kiuchumi.
Hii ni afathali kuliko ile ya Madini yanachimbwa na makampuni kubwa kuwa Kule Tz bila faida hata ya chakula kwa watanzania eg Acacia.
Kuna uafadhali gani hapo bhana usisikie kuwa yanapochimbwa madini watu wanaishi kifukara kama hivi ela ndio aifiki serikaliniHii ni afathali kuliko ile ya Madini yanachimbwa na makampuni kubwa kuwa Kule Tz bila faida hata ya chakula kwa watanzania eg Acacia.
Ganja de Tanzania nirushie jani kadhaa.Kuna uafadhali gani hapo bhana usisikie kuwa yanapochimbwa madini watu wanaishi kifukara kama hivi ela ndio aifiki serikalini
Akili yako fupi wewe hTa kusoma ujuiGanja de Tanzania nirushie jani kadhaa.
PSPF, TPA wamecopy wap?na mbona ni nzuri zaidi ya izo copy zenu

Kuweni wabunifu walauPovu linakutoka tu na Mwaka huh mtakoma Mzee kashaulizia ndege ya cargo soon inakujaGanja de Tanzania nirushie jani kadhaa.
Nbo ni developing city mnachekana na bunjumburaDar 92% yake ni slum chauffeur.
With over 6 million people living in slums, slum dwellers make up more than two- thirds of its urban population. Other UN reports estimate that in fact 92% of Tanzania's urban population live in slum conditions &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; more .
Sio Mimi nimesema so povu wapelekee UN.



mlivyo na Sifa Kichwa Cha Twiga kinaweza kuhesabiwa kama Tower. 







Which country is broke, can't feed its people, unemployment is higher, with many debts, and ranked as a failed state?How is you brother from among the 40 poorest Nations on the face of planet Earth?
Tanzania.Which country is broke, can't feed its people, unemployment is higher, with many debts, and ranked as a failed state?
Nchi gani itatumia Lamu Port? Ethiopia wanatumia DjobutNdogo kuliko Lamu which is currently under Construction. Mtakuwa mnatupumulia makalioni till cuming of Jesus Christ.
Mlishindwa kuwa creative mkafanya Copy and Paste
Kenya.Nchi gani itatumia Lamu Port? Ethiopia wanatumia Djobut
Jiji gani hilo lenye watu milioni 6 waishio kwenye slum!!!??Dar 92% yake ni slum chauffeur.
With over 6 million people living in slums, slum dwellers make up more than two- thirds of its urban population. Other UN reports estimate that in fact 92% of Tanzania's urban population live in slum conditions &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; more .
Sio Mimi nimesema so povu wapelekee UN.
Panafanana na Arusha mkuu, sio Dodoma
Nrb tupo 2.5 million. Dar mpo millioni 4 hao wengine millioni mbili wamo miji mingine Tanzania.Jiji gani hilo lenye watu milioni 6 waishio kwenye slum!!!??
NBO au!!?
Oooh kumbe umechukua NBO + Dar, hapo sawaaaNrb tupo 2.5 million. Dar mpo millioni 4 hao wengine millioni mbili wamo miji mingine Tanzania.