Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata China wanakufa na landslides, Japan na Earth quakes.😀😀😀
Kwahiyo kwasababu huko wanakufa unaona kwako ni sawa tu wakenya wakifa, kwasababu maisha ya mkenya unahisi sio sawa kwa thamani kulinganisha na Japan na China?. Vipi kuhusu hao wakenya wanaouliwa kutokana na mapigano ya jamii za wafugaji, pia unadhani ni sawa kuendelea kuuana kila siku?
Kenya falls in ‘Failed State Index’ rankings
 
Nothing speciall about it, Angama Mara is $14,000 per night and we don't say.
uahahah 14000 uliitoa wapi mbinguni au??😀😀😀 au ulijua ni njugu hzo🙄🙄
F0C54EB3-1754-4237-9EFF-2300B43022E4.jpeg
 
Ushamba ni pale mtu hafahamu kuwa nyingi ya hizo ndege za KQ ni za kukodi.
Unafahamu KQ katika hizo ndege zinazofanya kazi za kukodi no ngapi na wanazomiliki ni ngapi?
Kukodi ni kuongeza uwezo was huduma na kibiashara hilo sio la ajabu. Tupatie takwimu hiyo kwanza ya wanazomiliki na kukodi. Kusema nyingi ni za kukodi haisaidii, maana mtu mwenye akili anaweza kukodi ndege na zikaingiza faida kuliko anayetumia za kumiliki
 
Wengine tumewapuuza hao
.

Achana nao huoni hata wakenya wanawapita tu,wameishawajua ni wale wasioweza kutofautisha mukwaa humu,wakidhani hapa ni jukwaa la siasa.
 
Back
Top Bottom