Jitumeni kama hao Wakenya punguzeni porojo hamna cha kupewa kaza msuli hao sekta binafsi wako vizuri sababu wananchi wenyewe waliamua kujituma sio kukaa kulialia hio budget ataiongeza vipi kama watu kila wakati kulialia tu nchi bado ina fursa za kutosha ni watu tu kubadili upeo wao wa fikra sa hivi hamna tena kitonga kuna kichwaKWANI TANZANIA KAZI ZIPO WAPI??? ANGALIA TAKWIMU YA WAKENYA WALIO NA KAZI HASA SECTOR BINAFSI HALAFU LINGANISHA NA TANZANIA! TUPO NYUMA MIAKA 20 KULINGANISHA NA KENYA KUANZIA UCHUMI, ELIMU NA MITAZAMO (MINDSET), Wakenya wapo wengi nje ya nchi wenye kazi za maana mara 15 au 20 ya watanzania, na wana-cope na mazingira wanayoishi kuliko sisi watanzania.....kwa ufupi wakenya ni watafutaji na wanafahamika dunia nzima. Obama hakupatikana kibahati, sisi tunajikongoja hata kutembea hatujaweza wakati wenzetu Wakenya na waafrika wengine wanatimua mbio. Rais wetu kila siku anazungumzia Flyovers mbili za Dar ES Salaam wakati wenzetu kwao zimejaa, mtandao wa barabara za kwao zikiwamo Expressway zipo kwa zaidi ya mara mbili kulinganisha na za kwetu, elimu yetu bado sana....wanamaliza vyuo lakini hata barua za kuomba kazi inakuwa changamoto kuziandika. Kenya airways imejaa madege ya kila aina, Uwanja wa Jomo Kenyatta wanashuka wasafiri millioni 6.3 wakati Julius Nyerere wanashuka chini ya millioni 2.4 kwa mwaka, Vyuo vikuu vyao ni bora karibu vyote vipo kwenye vyuo vikuu bora 100 kwa nchi za Afrika sisi vinaingia viwili tu...Bado tu hujajiona upo wapi ndugu?
Kenya hawajawahi kuzuia kufanya siasa tangu mfumo wa vyama vingi umeanza, sisi kwetu ni ukandamizaji kwenda mbele. Mkulu kazi anazozifanya ni kufungua viwanda vilivyofungiwa kabla, kufungua barabara zilizokamilika wakati wa Kikwete ambazo tayari zilishatumika kwa miaka.
Ushauri wangu, Aache misifa na kila siku kuropoka sijui flyovers, barabara, ndege, Railways, sijui wizara ya afya imeongezewa budget. Hizo zote ni wajibu wake, ni moja ya job description yake.....Tunachekwa kwani kwa majirani zetu hayo mambo ni vitu vya kawaida. Akazanie kuongeza budget, Kila mwaka budget haitoshi....Kenya budget yao kwa mwaka ni Dola 24 billion kwa mwaka, sisi yetu ni 13.3 billion. KWA HUYU RAIS HATUENDI MBELE ILA TUNARUDI NYUMA.
October 2017
Tanzania Zambia Railway (1860 KM) Long-distance passenger car train started from Dar es Salaam (Tazara station) to Zambia at 15:50 on
Source: Hitoshi Suzuki
Kama ingekua electric na kwenda kwa 160km/hr, ingekua safi not that snail motion of 110km/hr and dirty pollutive & expensive to run diesel engine
Google Kenya economy 2016, it was around 70 billion, acha kulialiaAcha uongo wewe, hii ni ya 2016, lete ushahidi kuonyesha kwamba ni mwaka 2012/13
No wonder they only post cbd pictures lol. Out of that cbd ni trashinclusive economy hahaha......
wacha tubaki exclusive
View attachment 724890View attachment 724891View attachment 724892View attachment 724894View attachment 724895View attachment 724896View attachment 724897View attachment 724898
Tutacopy paste NY yote brathaPSPF, TPA wamecopy wap?na mbona ni nzuri zaidi ya izo copy zenuKuweni wabunifu walau
wow gari moshi 😀😀😀 Chinese air pollution train
endeleeni kuokota picha google alaf museme dar as usual😀😀😀😀😀 wenzako waliweka mpaka slum za siera lione na nigeria wakasema dar😛😛😛No wonder they only post cbd pictures lol. Out of that cbd ni trash
na haiwez fika 120km/hr ikifika hapo ujue ni vibration kwasababu reli yao ni joint bolted na sio continuous welded railKama ingekua electric na kwenda kwa 160km/hr, ingekua safi not that snail motion of 110km/hr and dirty pollutive & expensive to run diesel engine
But yiou never post, mimi huona tu cbd, no shots from a distance, kwani mna aibu??endeleeni kuokota picha google alaf museme dar as usual😀😀😀😀😀 wenzako waliweka mpaka slum za siera lione na nigeria wakasema dar😛😛😛
alaa inamaana hua huoni pich zikiwekwa humu??But yiou never post, mimi huona tu cbd, no shots from a distance, kwani mna aibu??