Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,809
Nauliza kati ya Tanzania na Kenya nchi gani imeendelea? Nauliza hivyo kwa sababu kila siku tunasifia ujenzi wa fly overs Tazara na Ubungo, ununuzi wa ndege na ujenzi wa standard gauge railway kuwa ndo maendeleo.
Sasa wenzetu Kenya SGR tayari wanayo, ndege wanazo kama ifuatavyo: Boeing 787 ndege 7, Boeing 737-800 ndege 8, Boeing 737-700 ndege 2 na Embraer 190 ndege 15. Wana flyovers kila kona ya Nairobi na Mombasa.
Je, kwa mtanzamo wa wanaCCM Kenya ni nchi iliyoendelea?