Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

waheshimiwa wazima wamekwamiana kama viberiti huku wakiharibu hewa kwenye lift kisa uzinduzi
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
they even wore their Sunday best to launch the first lift in Mbeya
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
this is the country that is comparing itself to kenya
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

lift2-jpg.164062
14516716992_ef8e1ba887_b.jpg
Joke of the millennium.
 
Sasa wasibiri expansion ya dar port imalizike 2020 humu tutakimbiana 😀😀😀😀😀

Hapohapo 2019 tunapokea first phase ya the best and modern electric train in africa alaf 2020 tunapokea second phase to dom

2020 hio hio tunapokea the biggest dam in EA ambayo sasa ujenzi umeshaanza rufiji ambayo utazalisha 2100MW

Mwaka huu mwez wa 7 tunapokea ndege nne kwa mpigo kwa ajili ya Air tanzania

Mwaka huu tunapokea kinyerezi 2 ambayo itazalisha 240MW na huku kinyerezi 3 ujenzi umeshaanza

2020 tunapokea meli ya kwanza bagamoyo port ambayo phase 1 itakua imeshakamilika

2019 tunapokea meli kubwa kabisa bandari ya mtwara amabyo iko under expansion

Etc zingine ongezeeni😀😀😀😀😀
Na mwezi ujao tunawapokea wakenya wote jijini dar es salaam watakapokuja kuhudhuria mechi ya timu yao ya taifa ya harambee star vs. black star,baada ya viwanja vyao vya nairobi kutokidhi kanuni za fifa
Screenshot_2018-03-13-18-42-50-1.jpg
 
First ever tarmac road since independence pwahahaha.. Mko chini zaidi ya LDC

First everrr?????????
Lamu, which is a county, might have built its first tarmac road in 2018. what do you say of a country which built its first flyover in 2018 and telling the whole world?
 
We Jay unajitekenya hapo hapo unacheka mwenyewe, hizi ni dalili za uendawazimu

Hebu tuambie kuhusu hiyo barabara ya lami iliyozinduliwa, tangu Uhuru

Maana unavong'ang'ania Lift ya kwanza....
 
Eti Jay tuambie vizuri hapa, ni kweli Lamu ilikua haina barabara ya lami tangu Uhuru...!?!?

Hii ni aibu kwa nchi DC kama Kenya
View attachment 721719
Hii bwana haiwezekani kutokea Kenya

Barabara ya kwanza ya lami moja kati ya miji iliyokua inapigiwa kelele humu ndani....

Eti ooh DC, DC, DC u DC upi huo mliokua nao...

Labda wa cooked data, Hahah
 
waheshimiwa wazima wamekwamiana kama viberiti huku wakiharibu hewa kwenye lift kisa uzinduzi
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
they even wore their Sunday best to launch the first lift in Mbeya
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
this is the country that is comparing itself to kenya
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

lift2-jpg.164062
14516716992_ef8e1ba887_b.jpg
The most interesting part is that Mbeya is actually a city, a city with one lift! Eei yawa....pthoo. Achenu aibu ndiggo ndogo. hata Migori yetu iko na lift in two buildings
 
Wakenya mpo kweliiii!??

Nchi DC haiwezekani isherehekee barabara ya kwanza ya lami ndani ya mji mkubwa kama Lamu...

Hakuna DUNIANI koteee!!!

Kenyaaa, hapana kwa kweli
 
Back
Top Bottom