Sipendi umbea so kama hakuna Picha siwezi kusadiki maneno yako mengi. Huu ndio ukweli wa Watu toka Failed states.Vipi kuhusu our new modern and the biggest airport in EA, wewe ni mtu wa kupenda picha sana, vipi umerizika?,
Mvinyo ni ule ule chupa ndio mpya...Namaanisha kuwa Tanzania ni ile ile ya 80s ila mwaka ni 2018.Work in progress new tanzania[emoji555][emoji555][emoji555]
Hizo picha za terminal 3 JNIA umeziona?, tunaomba comments zako please[emoji38] [emoji38] [emoji38]Sipendi umbea so kama hakuna Picha siwezi kusadiki maneno yako mengi. Huu ndio ukweli wa Watu toka Failed states.
HahahahahahahahahahahahahahahahahahMvinyo ni ule ule chupa ndio mpya...Namaanisha kuwa Tanzania ni ile ile ya 80s ila mwaka ni 2018.
hahahaha.. museum ni uwanja wenyu wa ndege hapo nairobi. [emoji23]
Trending in Tz is different from trending in the world.
Uko poa lakin...muthaiga picha tupaone maneno mingi hayana nafasiHiyo hapo juu ndo mikocheni? Hiyo patia Syokimau ama Lang'ata zitaendana sawa, sio Karen. Huwezi linganisha karen na kitu ya uxhwara kama huo. And for your information, Karen is not even the best estate in Nairobi. Ukiingia Muthaiga utashangaa babaa....Many publications have described Muthaiga as the Beverly Hills of Nairobi.
Hahahaha ati 2019 phase I ya SGR imekamilika ilhali hata renders hamjamalizana nazo mwaka unaelekea katikati, kwani mnatengeneza na uchawi wa albinos? Tulia buda na uwe mwepesi pande ya Hasira....SGR yenyu inaanza rasmi 2025 lakini kwa sasa ni mbembwe na mihemko ya kuwadanganya wadanganyika na kuwanunua wana Chadema. Hahahaha povu ruksa na huu mchezo hauhitaji hasira babaa so unajua tunataniana na Pia mnajua Kenya ndio power house Hapa EAC kitu ambacho mnatuweza ni mdomo bakuli so hata unaona vile mmejazana hapa hata kuliko wakenya.Sasa wasibiri expansion ya dar port imalizike 2020 humu tutakimbiana πππππ
Hapohapo 2019 tunapokea first phase ya the best and modern electric train in africa alaf 2020 tunapokea second phase to dom
2020 hio hio tunapokea the biggest dam in EA ambayo sasa ujenzi umeshaanza rufiji ambayo utazalisha 2100MW
Mwaka huu mwez wa 7 tunapokea ndege nne kwa mpigo kwa ajili ya Air tanzania
Mwaka huu tunapokea kinyerezi 2 ambayo itazalisha 240MW na huku kinyerezi 3 ujenzi umeshaanza
2020 tunapokea meli ya kwanza bagamoyo port ambayo phase 1 itakua imeshakamilika
2019 tunapokea meli kubwa kabisa bandari ya mtwara amabyo iko under expansion
Etc zingine ongezeeniπππππ
Mbona huzungumzii hizo picha za the biggest and ultra modern airport in EA, au picha hujaziona?.Hahahaha ati 2019 phase I ya SGR imekamilika ilhali hata renders hamjamalizana nazo mwaka unaelekea katikati, kwani mnatengeneza na uchawi wa albinos? Tulia buda na uwe mwepesi pande ya Hasira....SGR yenyu inaanza rasmi 2025 lakini kwa sasa ni mbembwe na mihemko ya kuwadanganya wadanganyika na kuwanunua wana Chadema. Hahahaha povu ruksa na huu mchezo hauhitaji hasira babaa so unajua tunataniana na Pia mnajua Kenya ndio power house Hapa EAC kitu ambacho mnatuweza ni mdomo bakuli so hata unaona vile mmejazana hapa hata kuliko wakenya.
Wimbo huu wako mtamu sana weka tena babaa.https://www.nation.co.ke/news/polit...peaceful-poll/1064-1893004-j93e9vz/index.html
This is trending in the world[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Unataka kucheki Muthaiga really???Uko poa lakin...muthaiga picha tupaone maneno mingi hayana nafasi
Hii kampuni itafilisika ndani ya miaka hii mitano hadi nane, Period!breaking news.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 721192
Renders tukuoneshe ya nn wakat sisi tunataka kukuonesha kitu halisi hehehe yani hii SGR mutalia kilio cha mbwaππππHahahaha ati 2019 phase I ya SGR imekamilika ilhali hata renders hamjamalizana nazo mwaka unaelekea katikati, kwani mnatengeneza na uchawi wa albinos? Tulia buda na uwe mwepesi pande ya Hasira....SGR yenyu inaanza rasmi 2025 lakini kwa sasa ni mbembwe na mihemko ya kuwadanganya wadanganyika na kuwanunua wana Chadema. Hahahaha povu ruksa na huu mchezo hauhitaji hasira babaa so unajua tunataniana na Pia mnajua Kenya ndio power house Hapa EAC kitu ambacho mnatuweza ni mdomo bakuli so hata unaona vile mmejazana hapa hata kuliko wakenya.
Hii kitu inahitaji Uzi !state of the art dar es salaam international airport. wao wakianza sisi tunamliza. viva tanzania.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 721210
Imbeni nyimbo ya LDC naona imepoteza ladha siku hziπππππWimbo huu wako mtamu sana weka tena babaa.
Bado tunangoja Bagamoyo port, SGR, Boeing/ Bombardier, Pipeline na usisahau kuniambia bei ya saruji so usiingie mitini kama wakati ule.Renders tukuoneshe ya nn wakat sisi tunataka kukuonesha kitu halisi hehehe yani hii SGR mutalia kilio cha mbwaππππ
Si unaelewa tuliwaachia muwe mnatukumbusha bado mko pale pale vile umeitajaImbeni nyimbo ya LDC naona imepoteza ladha siku hziπππππ
Don't even hesitate anzisha uzi mara hiyo hiyo I dare you juu itabidi JNIA kushindana na Moi International Airport Mombasa.... Hahahaha.Hii kitu inahitaji Uzi !