Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usinichekeshe vitu ka hizo inafanya diamond aseme "he wishes he was born in Kenya"... Aty ata iTunes tz hakuna...doomed nation
Umechange topic sasa tumeingia kwa diamond😀😀😀😀😀😀
1DB9258E-2520-48B4-96DF-23DA4A10D098.jpeg
 
Haha dude...have u ever heard of a musician launching an album outside his country...shame on Tanzania.no ITunes shame
Akitoka kwenu anakwenda america den nigeria den south alaf anakuja tanzania kufunga dimba ni maamiz ya mwanamziki diamond ni profit motivator asanten kwa kumpa pesa alete home atoe ajira zaidi kwa vijana
 
Good anatembea MDC na DC...but album analaunch Kenya amekaa wiki ka moja and counting....
 
Uhahaha hataki watu wajue wakat ni mtanzania tena mzalendo ameekez tanzania bishara kibao na nyumba zaidi ya 20 na bado anaekeza na ametoa ajira kibao kwa vijana😀😀😀😀
Muulize yeye ndiye alisema....album ilitolewa Kenya ...why....poor LLDC...Lower least developed country
 
Back
Top Bottom