Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

anajua Kenya doh iko.......Infact most Tanzanian musicians use Nairobi to rise to fame.....not even Dar
Ndugu diamond anafanya show ulimwengu mzima na anatafuta pesa ulimwengu mzima ndio maana anajenga sana tanzania na amaeajiri watu tanzania na kwa taarifa yako diamond ameanza kuwika kimataifa baada ya kukubadilika south africa na nigeria.... wala usijipe hope😀😀​
 


My brothers Watanzania, Wakenya na wote wa East Africa,
Can you please stop this nonsense. Hivi hamuwezi kujadili vitu vya maana kweli, aliyewambia maendeleo ni Majengo nani? au mnataka kuuhakishia ulimwengu kwamba vyuo vyetu vya Africa haviwafundishi watu kutafakari kwa kina. Nchi za Scandinavia hazina Mabarabara au majengo Makubwa kama Marekani, China nk lakini ubora wa Maisha ni no MOJA. Msiturudishe nyuma na ujinga wenu, tuko kwenye hatua nzuri ya kuunganisha wa Africa Mashariki na kuboresha maisha ya watu wetu. Tunataka mtu Mtanzania akiugua akiwa Kenya, Uganda au popote apete huduma bora na Mkenya, Mrwanda hivyo hivyo hayo ndo maendeleo ya kweli.
 
anajua Kenya doh iko.......Infact most Tanzanian musicians use Nairobi to rise to fame.....not even Dar
Na eka akilini ushindani wa kimziki tanzania ni mkubwa sana dont think watu wote wanamkubali diamond in tanzania bado kuna king kiba kina fidq mfalme wa hiphop yani soko la mziki tanzania ni pana na lina ushindani mkali sana
 
kaka hili group liache hvihvi lina maana kubwa sana na linaelimisha sana sio watanzania tu bali wakenya na jamii zingine tena limesaidia sana wakenya kuijua tanzania of 2018 na sio ile ya 90s sasa wewe liache kabisa😀😀😀😀😀😀
 
Samahani, hebu niambie maendeleo ni nini?
 
Mtwara port 😀😀😀😀 under huge expansion
Magufuli kiboko ya wakenya
 
Naona unapiga biti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…