Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Njoo Dar ujionee wewe acha kutegemea google, hiyo inakuonyesha aerial view pekee, ama muulize CS Balala atakuambia kwamba Dar is a modern city wakati Nairobi is very old city.
 
Ni vigumu kutofautisho kwa sababu ukitazama images za Dar kwenye gogle earth, unachoona ni nyumba za mabati zilizorundikana kila mahali. Kwa kweli ni sehemu chache sana Dar ziko na mvuta ukiingia pale Google earth ambayo inatoa uhalisia wa mambo. In short, Dar haina mpangilio
 
word...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Njoo Dar ujionee wewe acha kutegemea google, hiyo inakuonyesha aerial view pekee, ama muulize CS Balala atakuambia kwamba Dar is a modern city wakati Nairobi is very old city.
Kwa hivyo google earth inadanganya?
 
 
Kama hivi...
 
Mwasiti acha kelele, unaona upuuzi huo? mpaka hapo tushakujua we ni mtu wa aina gani πŸ˜€
ati mwasiti.. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hatukatai Nairobi ni ndogo kwa Dar jinsi New York pia ni ndogo kwa Dar kiukubwa. Nadhani umepata nilichodhamiria hapo
Sasa nai iko kundi lipi kati ya new york au dar.

Maana new york ni ndogo kuliko dar in term of diametre but interm of density new york ni zaidi mbali unaweza ona hata kwa idadi ya watu.

Sasa sijui nairobi unaweza ukaijengea hoja gani,ni ndogo kwa eneo,wingi wa majengo na thamani pia,wala idadi ya watu ni ndogo.

Embu hangaika kunishawishi maana sioni una hoja gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…