joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Punguza ujinga kidogo, nimekuwekea mambo yanayoifanya Dar iwe juu ya Nairobi, wala sijataja size, badala ya kujibu yale niliyokuwekea, unayakwepa unaanza kuzungumzia size, mbona ninyi huwa mnadifia GDP ambayo haiwasaidii lolote?halafu hawezi explain mbona dar ni kubwa kuliko LA na Nai lakini vumbi wanakula sio chache