Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha kuwa na mtazamo wa kizamani kuhusu vitu. Mfumo wa elimu unapaswa kumuandaa mtu kutumika katika mazingira yake kwa kumuwezesha kufanya maamuzi yatakayoongeza ubora.

Unawapimaje watu wenye shida tofauti kila mmoja hivyo pia malengo yao... Hata kama utawapa elimu ile ile bado wataifanyia kazi kwa utofauti. Elimu sio kupokea tu mapokeo ya wageni na lugha yao.. Ni kuelewa nadharia na kuitafsiri kwa upeo wako ikusaidie katika kazi zako za kila siku.

The same education given to a masai boy inaweza kupewa kwa mkulima pia ila wote wakaitunia kivyao. Just because one of them did not realize huge economic achievement... Haitoshi kufanya elimu aliyoipata kuwa of lesser quality. Maana kwa hapo its simply perceptions za kwako unaye-grade.

Our Education is better.. It needs improvements..no denying..lakini hata Japani wanafanya maboresho kwenye yao.. Sio kitu kibaya. Kitu unapaswa kujua mfumo wa elimu sio kuwa na shule tu.. Ni indoctrination system ...if you don't have doctrines of your own... And you struggle so hard to fit in the world ...mtapotea mtakuwa waajabu .. A nation without culture. Muitumie shule vizuri kuwakumbusha wakenya wao ni nani.. Sio mnang'anga'ana na uzungu pori tu.. 🙂

Story mob niyanini share alink to prove what you say.. When you guys lag behind in something you use alot of nothings to justify your stupidity..
Bla bla bla...Tz education system is the worst in the region..
 
Sisi ni watu wa kujituma, sio kama hawa southerners. Kenyans are very ambitious and hardworking ndo maana utasikia wakituita wezi
munajituma vp na hamuna ajira kwa vijana😀😀😀😀😀😀
 
TANZANIA, KENYA, UGANDA, ETHIOPIA in that order..So nimetoa some stats online. Kenya, Tz, Uganda and Ethiopia. Tanzania's gdp per capita is closer to Uganda's gdp per capita than Kenya's gdp per capita. Kenya has a larger ppp than Tz despite having a lower population. HDI wise we are middle. Uganda Tanzania na Ethiopia ni low. But oooh sijui Kenya failed state sijui nini. Your bitter replies are welcome. guys
cp1.PNG
cp2.PNG
cp3.PNG
cp4.PNG
 
Hehe alaf munajenga inafastructure zipi sasa yani mji wenyewe mdogo badala kuitanua kwenda nje zaidi wanazidi kuibana kwenda ndani
3BEA0D7B-891E-4155-B99D-BEB08890C8C0.jpeg
 
Thanks for watching Kenyan News... kindly also brief us what happened to Tz jana... It's unfortunate we don't watch your Tv's.
 
Hehe alaf munajenga inafastructure zipi sasa yani mji wenyewe mdogo badala kuitanua kwenda nje zaidi wanazidi kuibana kwenda ndani
View attachment 712185
Kwani hizi picha za barabara wanazotuwekea humu hazijasaidia??

Ni zile zile kelele tunawapigia kila siku kwamba,hakuna kitu kinafanyika tz bila tathmini,ukiona hakipo ujue kimeonekana hakina tija.mtu anajigamba ana barabara lane sita sita kuingia mjini,wakati mji ni mdogo.

Sisi tumeona mbali,badala ya kuweka barabara nyingi magari yajazane mjini,tukaweka BRT na train ya diesel,tunaongeza na phase 2&3 kuua kabisa msongamano.jam zimebakia junction tu tena in seconds.

Waambie waendelee kuongeza lanes atleast zifikie 12 kila direction .
 
Hazisaidii kwasababu hakuna mfumo mzuri wakuondoa adha wao muhimu sifa tu hakuna plan ya kuondoa adha za barabara we unaeza amini mvua ilisababisha foleni iliodumu siku nzima njia ya mombasa yani siku nzima gari zimesmama tu
 
Thanks for watching Kenyan News... kindly also brief us what happened to Tz jana... It's unfortunate we don't watch your Tv's.
No wonder mlikuwa mkidhani tz imelala.

Sasa mtatizama huku mko na pils na glass ya maji pembeni.
 
Back
Top Bottom