Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

khayelitsa imekuwa edited lol.....naona siku hizi hamsemi Ruai Riruta na githurai kuwa slums... . funny how they only cover 4% of NBI......96% isn't bad.
hivi bado kuna slum nyingine bado???,naona umetaja nyingine hapa dah!!!!
 
Vijana hawana ajira
82CF3ACF-EA40-40BA-B7F0-C8A23761EF20.jpeg
 
khayelitsa imekuwa edited lol.....naona siku hizi hamsemi Ruai Riruta na githurai kuwa slums... . funny how they only cover 4% of NBI......96% isn't bad.
Hahaha kilio cha nn sasa😀😀😀
Hujanijibu swali hapa mliingia vp au mumeonewa sema tu
3AAA7D74-A5F5-440F-8CF9-5CA826E30DA8.jpeg
 
That's why Nairobi is a metro of 8 million people...........Fika namanga border uone estates za Nairobi zikianzia hapo......I tell you we aren't like Tanzanians who wait for government to do everything for them......Kenyans through saccos build massive estates ......what we call the "Harambee spirit" ..........just ask a honest friend atakupasha tu habari....lol
Kitu Nai imeweza ni Barabara zenu pana zetu sio pana sana, dar watu wamejenga nyumba zao kulingana na mahitaji...izo estate sio nyingi ,lakini nyumba zilivyojengwa unapenda tu...Sahv tumejengewa ring roads sehemu kibao yaani unazunguka tu unakuta umetokea town...
ukiangalia mazuri ya Nairobi pekee unakosea...angalia na Dar pia
 
Hawa hawatakiwi kuelimishwa wana udongo mweusi kichwani unatakiwa kupigwa moto kibishi mpaka wakae sawa.
 
I need to elimisha people here, Kenya can never be Tz.. We have never had anything in common. Trust me, na Wala hatutaki kufanana na Tz..We are way different,apa tutabishana upuzi,ukweli twaujua. Kenya is a King pin na si hiari.!! You claim we have slums, hatukatai.. For you who live in denial bakini kwenu.!!.Mtatusoma namba,..We are the GATEWAY to The Eastern and Central Africa..Vilevile, apa ni Nairobi
tapatalk_1520694787486.jpeg
tapatalk_1520692066327.jpeg
tapatalk_1520695006087.jpeg
 
I need to elimisha people here, Kenya can never be Tz.. We have never had anything in common. Trust me, na Wala hatutaki kufanana na Tz..We are way different,apa tutabishana upuzi,ukweli twaujua. Kenya is a King pin na si hiari.!! You claim we have slums, hatukatai.. For you who live in denial bakini kwenu.!!.Mtatusoma namba,..We are the GATEWAY to The Eastern and Central Africa..Vilevile, apa ni NairobiView attachment 711477View attachment 711478View attachment 711479
asante kwa porojo.
 
Sasa hapo unataka tuwe impressed na vivyo vijengo viwili au?
 
Back
Top Bottom