Hawa jamaa wanapata mafukiro lakini tukiwahoji kuhusu njaa wanasingizia ukame
uhahahaha floods juu ya flyover hii kali aise😀😀
kumbe hiyo ni flyover, sasa uko chini kukoje... iko kicheko chako nikajikuta na mm nacheka uhahahaha
Bro tunakuheshimu sana, Tafadhali tengua kauli yako.naona maumivu ya wakanda inawauma watu....nilidhani ni mwenzenu ndiye alikuwa akisema sijui Nyerere ni Black panther😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀yaani huyu mshamba unaweza mfananisha na Black panther, the super hero?😀😀😀😀😀jamaa analainisha ndevu kana kwamba ni hitler😀😀😀kamshamba kamekonda kanafananishwa na super hero..huyu pengine mfananishe na spiderman😀😀😀
![]()
why? Nyerere sa ndio nani bana😀😀😀😀kamshamba ka bongo...huyo jamaa ndio alichangia umaskini wenu tz by the way through ujamaa system...tz si nchi inafaa kuwa LDC leo...😀😀😀No no no haya maneno hapana. .
Sometimes uwe unanyamaza
Nop...my hero is Mandela alone...not this guy...Bro tunakuheshimu sana, Tafadhali tengua kauli yako.
Copy to Moderator
Pride of Africa
Omba radhi na Tengua hiyo kauli ,why? Nyerere sa ndio nani bana😀😀😀😀kamshamba ka bongo...huyo jamaa ndio alichangia umaskini wenu tz by the way through ujamaa system...tz si nchi inafaa kuwa LDC leo...😀😀😀
Buda utachanganya wageni hapa.......waanze kuona Tz sio LDC na hio picha ni ya kenyaDodoma
![]()
hahaha lolBuda utachanganya wageni hapa.......waanze kuona Tz sio LDC na hio picha ni ya kenya
Jay una nin lakini...!?why? Nyerere sa ndio nani bana😀😀😀😀kamshamba ka bongo...huyo jamaa ndio alichangia umaskini wenu tz by the way through ujamaa system...tz si nchi inafaa kuwa LDC leo...😀😀😀
Hivi ni nani aliyeifanya Kenya kuwa na corruptio,tribalism, insecurity, slums, hunger na police killings hadi ikawa failed state?why? Nyerere sa ndio nani bana😀😀😀😀kamshamba ka bongo...huyo jamaa ndio alichangia umaskini wenu tz by the way through ujamaa system...tz si nchi inafaa kuwa LDC leo...😀😀😀
Tunajua mnamchukia huyu jamaa baada ya kuwakazia kwenye mt kilimanjaro.but inchi kubwa kana SA kutambua mchango wake inafanya tudharau wakenya na mitazamo yenu juu yake.why? Nyerere sa ndio nani bana😀😀😀😀kamshamba ka bongo...huyo jamaa ndio alichangia umaskini wenu tz by the way through ujamaa system...tz si nchi inafaa kuwa LDC leo...😀😀😀