ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ni tembo mweupe hio project imeanza since 2014 na bado haina uhakika ndio maana tunaita render😀😀😀Btw Iyo nyumba itafanya skyline yenu ionekane as if mna nyumba moja...nyingine zitamezwa vibaya...tutaiita nai one tower
Note;Sisi watz bado hatuna uhakika if pinaccle is real project Au ndio Yule tembo mweupe mkubwa ...jipeni shughuli
au ndoto ya alinacha walitegemea investors sasa investors wanaonekana hawana nia na serekali haina pesa ya kujenga sasa wamebaki kujipa moyo