Acha uongo wewe, Marekani haijawahi hata siku moja kununua chakula toka China, Marekani wana ndiyo nchi yenye akiba cha chakula kingi kuliko nchi yoyote ile duniani, lete ushahidi kwamba China ilishawahi kuiuzia Marekani chakula.
Huwezi kuwa nchi iliyoendelea kama huna uhakika wa chakula, hicho ndicho kigezo cha kwanza duniani cha maendeleo. Tatizo la Kenya ni kwamba hamna uwezo wa kuzalisha chakula cha kujitosheleza, na hamna pesa za kununua chakula cha kutosha, mnabaki kusaidiwa chakula, hii ni aibu, na ni nchi chache sana duniani ambazo haziko katika vita, zinazopewa food donation.
Uhuru trolled for receiving 'food rations' from UAE - Nairobi News