Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
WATU 10 WASHIKILIWA NA JESHI POLISI MKOANI MOROGORO KWA MAUAJI YA DIWANI WA CHADEMA. - KIJUKUU CHA BIBI K | Habari na Matukio
Acha kupiga kelele, waliohusika na hayo mauaji wote wamekamatwa na wamesema ni mauaji ya kulipiza kisasi kutokana na migogoro ya shamba. Vipi waliowaua Jacob Juma nanChris Msando, wamepatikana?, na polisi waliowaua watu 60 katika kipindi cha uchaguzi, kuna hata mmoja aliyehojiwa?, usilinganishe Kenya na Tanzania katika hilo, ni sawa na mbingu na ardhi.
Ulitaka waseme ni magufuli aliwatuma? reason beyond your nose.