Chokora, ungekuwa na akili timamu ungeona saa. uhuru park saa saba ya asubuhi? I use wifi at the comfort of my bed buddykama kawaida yenu kwa jinsi wakenya mnavyopenda kitonga.....
jobless nakuona upo uhuru park ukiwa umeivizia free Wi-fi![]()
![]()
its dwarf with an 'r'Same dwaf buildings of nairobi
Nyie vijengo vyenu vingi ni from 6flr to 10 flr
Uku dsm ni 13flr to 19flr
Check the pictures![]()
this is how our heroes do it.
im sure something will come of itI am surprised the legendary las Vegas sevens was going down this weekend.... there are very many Kenyans in Vegas nowonder the huge support
Mnaweza kuwa na headquarters za hao investors lakini uwekezaji wao wapesa hapo Kenya ukawa mdogo. Hapo inakuwa imewasaidia nini?. Investment inabidi itengeneze ajira na ku raise income. Tanzania ndo inaongoza East Africa kwa FDI hadi sasa. We raise both employment and income. Sio kupata headquarters tu bila kuwa na impact kubwa kwenye jamiiView attachment 704150 View attachment 704151 View attachment 704152
hahahaa... 2050 mbali mkuu.Tanzania yaikopesha Kenya kiasi cha shilingi $5bln pesa za miradi ya maendeleo ,habari 2050
collo anakwambia photoshop😀😀😀
Wanapigania headquarters badala ya uwekezaji wa kweliKenya wanafurahia headquarters wakati haziwasaidii kitu chochote mfano kama kwenye ajira BBC haiwezi kutoa ajira zaidi ya 20, Google wanapenda ku automate kazi zao hata YouTube haina customer care kwahivyo ajira hamna.
FDI in Tz is mostly goes to mining sector which hardly benefits the common mwananchi.