KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Same dwaf buildings of nairobiWestlands
![]()
![]()
![]()
![]()
Nyie vijengo vyenu vingi ni from 6flr to 10 flr
Uku dsm ni 13flr to 19flr
Check the pictures

Same dwaf buildings of nairobiWestlands
![]()
![]()
![]()
![]()

Same dwaf buildings of nairobiKilimani
![]()
![]()

Wapi wewe jobless unaeshinda humu. Hii thread imekunyima usingizimwengine anauliza kazi ya alarm clock.....Hahaha.Lusematic....I wake up at 4 am to do online writing before dashing to work by six thirty......hii Nairobi ni kutafuta pesa ndio ilituleta.....
Kenya pamoja na kuwa na HQs nyingi, lakini tumewapita kwa mbali sana katika FDI, na employment rate, tumewazidi katika Hospital bora za serikali, upatikanaji wa maji kwa wananchi, na security. Hivyo ndivyo vitu tulitegemea wafaidike navyo kutokana na uwepo wa hizo HQs.Twambie zimetengeneza ajira ngapi na ku raise income kiasi gani
We real want to know the real impact sio kuwa na headquarter jina
It can be anywhere but how much income do they raise in Kenya
Kariakoo spiderman hatapata shida
Moroco to Kijitonyama stretch has become a Telecom hubFor sure this district gives em a true run for their money.
A replica of morocco project. Well done Nhc.wakati pinnacle na montave ikibaki historia kwa wakenya dar mambo ni tofaut sana😀😀😀😀😀
711 kawe
View attachment 704049 View attachment 704051 View attachment 704052 View attachment 704053 View attachment 704054
Sio vizuri kuita waafrika wenzio ni wabaya hapo unakosea. Argue kwa facts matusi tuweke pembeniBwana mdogo, usiwe kichwa ngumu dizaini ya Jubilee, nimekwambia miaka mingi mmekuwa mkisafiria nyota ya Tz, hiyo JKIA inatumiwa sana na watalii wanaoenda Zenji na Huku bara,
Sijui kama umewahi ingia hapo JKIA but utakuwa shahidi kuwa hapo JKIA zile screens zenu hudisplay schedule na unaona vile kuna frequent flights between JKIA and Kilimanjaro International Airport na Zanzibar International Airport ,(sijui kama unanielewa)
Hapo una jambo la kujifunza kuwa,
a) Tanzania tuna 3 active International Airports
b) Most of your passengers are coming to Tanzania as their Destination...
This is a reason we've set aside millions of Dollars to expand our KIA, Zanzibar International Airport, Modernise JNIA and Reestablish ATCL,
You got my Point??
Tanzania ni Kipenzi cha Dunia nzima, sababu ni kuwa Unlike Kenya, which is indeed ugly, (Kenya and Kenyans are ugly, in fact Kenyans were voted ugliest in Africa, and obviously in the world), Tanzania and Tanzanians are beautiful, with beautiful hearts, tourists come to tz making us earn billionsof dollars than ke despite that we aren't advertising our country like the way you do,
Sisi waswahili husema Kizuri (tz) hujiuza na Kibaya (ke) hujitembeza.
ha haaa....... ushapagawaAti Tanzanians are beautiful....lol.natambua tu Ethiopia na Eritrea hapa east Africa kwa urembo na maybe Rwandese.......Get me a Tanzanian artist who is more beautiful than Avril or Marya....Hahaha
yaani kichwa yako imejawa na ukilitimbi..... huo ubongo wako hauwezi kuamka mpaka utumie alarm....mwengine anauliza kazi ya alarm clock.....Hahaha.Lusematic....I wake up at 4 am to do online writing before dashing to work by six thirty......hii Nairobi ni kutafuta pesa ndio ilituleta.....
wewe endelea kupost render ya montave na pinnacle mengine huyawezi😀😀😀😀😀iko wapi ile picha ya jaji mzima kaandika maandishi ya mtoto wa kindrgaten? natamani kucheka usiku huu😀😀😀
na sio 7 million its 4 million onlyhahaha...ok..lakini usifananishe china na tz ama china na france...china has 1 billion people...thats like the whole of Africa..France only has about 70 million people...the population difference between Kenya and TZ is about 7 million only...kwa hivyo hata kama mnakuwa kwa asilimia 7 nasi tunakua polepole kwa asilimia 5.8, kutufikia itakua ngumu..
sisi tunataka investors kokote kwasababu tunawaekea sheria ya ajira kwa watanzania na kodi wakitimiza hayo hatuna shida ila ukienda kinyume tunakuondoa kama kina acacia😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀true....kina sportpesa, KCB, Equity na I&M ndio among top investors tanzania..kuja Kenya unapata Hilton, Google, IBM, Facbook, Coca Cola, CGTN BBC na kadhalika....but I am stil wondering what these people go to school to do...
china kaekeza tanzania more than 6b usd kwenye viwanda tu hvo bado mambo mengine 😀😀😀😀Hapo kwa FDI ya kwao kuna 36 Kenyan companies ....Hahaha