Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

home of slums in the world😀😀😀😀😀😀
nairobi-slum-1.jpg
Naona Karen estate iko dope kwelkwel
 
hahahaha hatuzungumzii terminal...tunazungumzia passengers who have travelled...unaweza kuwa na terminals kama za London au Dubai airports lakini passengers millioni mbili tu...swali ni je mnawekamikakati gani kuhakikisha watu wanatumia JNIA
Bwana mdogo, usiwe kichwa ngumu dizaini ya Jubilee, nimekwambia miaka mingi mmekuwa mkisafiria nyota ya Tz, hiyo JKIA inatumiwa sana na watalii wanaoenda Zenji na Huku bara,
Sijui kama umewahi ingia hapo JKIA but utakuwa shahidi kuwa hapo JKIA zile screens zenu hudisplay schedule na unaona vile kuna frequent flights between JKIA and Kilimanjaro International Airport na Zanzibar International Airport ,(sijui kama unanielewa)
Hapo una jambo la kujifunza kuwa,
a) Tanzania tuna 3 active International Airports
b) Most of your passengers are coming to Tanzania as their Destination...

This is a reason we've set aside millions of Dollars to expand our KIA, Zanzibar International Airport, Modernise JNIA and Reestablish ATCL,
You got my Point??
Tanzania ni Kipenzi cha Dunia nzima, sababu ni kuwa Unlike Kenya, which is indeed ugly, (Kenya and Kenyans are ugly, in fact Kenyans were voted ugliest in Africa, and obviously in the world), Tanzania and Tanzanians are beautiful, with beautiful hearts, tourists come to tz making us earn billionsof dollars than ke despite that we aren't advertising our country like the way you do,
Sisi waswahili husema Kizuri (tz) hujiuza na Kibaya (ke) hujitembeza.
 
hehe....kenya is ugly but attracts more investors and more visitors than beautiful LDC tz..kipenzi cha dunia😀😀..unazungumza utadhani tourists wanaokuja bongo ni wengi kumbe ni wa kuhesabika...nchi kama zimbabwe, mozambique na namibia wanapokea watalii wengi kuwaliko.na kenya imkuwa ikipokea watalii wengi kabla ya swala la ugaidi...hehe...alafu komaa akili kuwa kama tuusan...stop your childish tendencies za matusi..
 
hehe....kenya is ugly but attracts more investors and more visitors than beautiful LDC tz..kipenzi cha dunia😀😀...hehe...alafu komaa akili kuwa kama tuusan...stop your childish tendencies..
Hahahaha, dogo futa povu mdomoni,
Can you prove that Kenya still receives more FDI than Tanzania?
Au wewe ndio kama hili zee MK254 linafungua Uzi eti True caller wamefungua ofisi Nairobi, WTF!
 
haha...hata sio truecaller pekee...investors walio wekeza EA asilimia 99 wapo na headquarters Kenya...kina Hilton, Google, Coca Cola, IBM, Microsoft na kadhalika...Kenya is the first choice for investors in EA...reason is because we are the bigger economy, the richer country, and the most developed one...sababu pia ni kuwa tuna better airport, better port...richer cities na kadhalika...In short we are East and Central Africa's gateway
 
hehe....kenya is ugly but attracts more investors and more visitors than beautiful LDC tz..kipenzi cha dunia😀😀..unazungumza utadhani tourists wanaokuja bongo ni wengi kumbe ni wa kuhesabika...nchi kama zimbabwe, mozambique na namibia wanapokea watalii wengi kuwaliko.na kenya imkuwa ikipokea watalii wengi kabla ya swala la ugaidi...hehe...alafu komaa akili kuwa kama tuusan...stop your childish tendencies za matusi..

Soma hizi Facts sio porojo ...

Soma hizi Facts sio porojo ...

haya fanya kujumuisha FDI ya Kenya toka 2010 mpaka sasa hivi 2018 kisha ufananishe na ya Bongo kwa muhula huo huo...sasa mwaka mmoja tu unaletea nani we jamaa? inaweza kuwa kwasababu ya elections au mambo mengine yanayotendeka nchini...FDI huwa tunaangazia long-term investments...sio investment za mwaka moja unaanza kubweka bweka hapa kana kwamba una mimba😀😀😀 kwa mfano, hapo kwnye listi mmewashinda mpaka South Africa kwa mwaka 2016...does this now mean that you are more attractive than SA? hehe...stop smoking bangi bro...FDI haiangaliwi mwaka moja tu...ingekuwa tunaangalia mwaka moja tu basi nchi ndogo ndogo zingekuwa zinawashinda akina Nigeria, SA na Egypt sababu nchi hizi wamekuwa katika hali ya recession mwaka wa 2016, hivyo, wawekezaji wakaamua kusubiri mpaka watoke katika recession...this also applies to Kenya...whenever there is an election or campaign season, invstors wait for the elections to pass first before doing anything...
 
haya fanya kujumuisha FDI ya Kenya toka 2010 mpaka sasa hivi 2018 kisha ufananishe na ya Bongo kwa muhula huo huo...sasa mwaka mmoja tu unaletea nani we jamaa? inaweza kuwa kwasababu ya elections au mambo mengine yanayotendeka nchini...FDI huwa tunaangazia long-term investments...sio investment za mwaka moja unaanza kubweka bweka hapa kana kwamba una mimba😀😀😀 kwa mfano, hapo kwnye listi mmewashinda mpaka South Africa kwa mwaka 2016...does this now mean that you are more attractive than SA? hehe...stop smoking bangi bro...FDI haiangaliwi mwaka moja tu...ingekuwa tunaangalia mwaka moja tu basi nchi ndogo ndogo zingekuwa zinawashinda akina Nigeria, SA na Egypt sababu nchi hizi wamekuwa katika hali ya recession mwaka wa 2016, hivyo, wawekezaji wakaamua kusubiri mpaka watoke katika recession...this also applies to Kenya...whenever there is an election, invstors wait for the elections to pass first before doing anything...

Mzee hata China na Singapore economic index kupanda si miaka mingi kama akina France, Canada n.k lakini unajua wako level gani sasa .....Mzee unapiga porojo sana mimi nakupa facts tu ....
 
hehe....kenya is ugly but attracts more investors and more visitors than beautiful LDC tz..kipenzi cha dunia😀😀..unazungumza utadhani tourists wanaokuja bongo ni wengi kumbe ni wa kuhesabika...nchi kama zimbabwe, mozambique na namibia wanapokea watalii wengi kuwaliko.na kenya imkuwa ikipokea watalii wengi kabla ya swala la ugaidi...hehe...alafu komaa akili kuwa kama tuusan...stop your childish tendencies za matusi..

Ati Tanzanians are beautiful....lol.natambua tu Ethiopia na Eritrea hapa east Africa kwa urembo na maybe Rwandese.......Get me a Tanzanian artist who is more beautiful than Avril or Marya....Hahaha
 
Mzee hata China na Singapore economic index kupanda si miaka mingi kama akina France, Canada n.k lakini unajua wako level gani sasa .....Mzee unapiga porojo sana mimi nakupa facts tu ....
haha sawa basi Rwanda, Djibouti na tanzania mmewashinda mpaka South Africa, Egypt na kadhalika😀😀😀 nakupa advice moja tu...rudi shuleni uitishe karo zako😀😀😀walimu walikuchezea mchezo wa karata....FDI huwa ina vary kulingana na hali ya uchumi wakati flani...leo inaweza kuwa juu kesho iwe chini...sasa usione leo iko juu ukajidanganya kuwa mnawashinda South Africa ama Kenya...kisha hio picha inaonyesha fastest growing economies...sio FDI...why are tanzanians this dumb?😀😀😀
 
Ati Tanzanians are beautiful....lol.natambua tu Ethiopia na Eritrea hapa east Africa kwa urembo na maybe Rwandese.......Get me a Tanzanian artist who is more beautiful than Avril or Marya....Hahaha
hahaha these guys are very shallow...watakuambia tz is ni kipenzi cha dunia kumbe hali sio...
 
kwa jinsi ulivyokuwa na akili za kitoto tena zenye uzembe ndiyo maana hicho kimeo chako cha android umejitegeshea alarm utadhani kuwa wewe ni mtoto wa kinda gaten.....

I don't argue with Ben tens like you ....get lost.Ushaenda auditions za mashoga. ..
 
haha sawa basi Rwanda, Djibouti na tanzania mmewashinda mpaka South Africa, Egypt na kadhalika😀😀😀 nakupa advice moja tu...rudi shuleni uitishe karo zako😀😀😀walimu walikuchezea mchezo wa karata....FDI huwa ina vary kulingana na hali ya uchumi wakati flani...leo inaweza kuwa juu kesho iwe chini...sasa usione leo iko juu ukajidanganya kuwa mnawashinda South Africa ama Kenya...kisha hio picha inaonyesha fastest growing economies...sio FDI...why are tanzanians this dumb?😀😀😀

Hapo kwa FDI ya kwao kuna 36 Kenyan companies ....Hahaha
 
😀😀😀😀true....kina sportpesa, KCB, Equity na I&M ndio among top investors tanzania..kuja Kenya unapata Hilton, Google, IBM, Facbook, Coca Cola, CGTN BBC na kadhalika....but I am stil wondering what these people go to school to do...
 
haha sawa basi Rwanda, Djibouti na tanzania mmewashinda mpaka South Africa, Egypt na kadhalika😀😀😀 nakupa advice moja tu...rudi shuleni uitishe karo zako😀😀😀walimu walikuchezea mchezo wa karata....FDI huwa ina vary kulingana na hali ya uchumi wakati flani...leo inaweza kuwa juu kesho iwe chini...sasa usione leo iko juu ukajidanganya kuwa mnawashinda South Africa ama Kenya...
Naona umekariri ....ngoja nikukate shule ....China by the year 2000 OFDI ilikuwa only 57 billions usd but economic reform to encourage OFDI sasa hivi wamefikia 184 billions usd and the second world largest OFDI according to world investment report. The growth rate is 44% on year to year movement. China walikuwa kichekesho just few years ago but statistics never lie. Bakia na your history while over five years Tanzania economy growth ni zaidi ya Kenya kwa mbali. Wewe bakia ukisherekea ubingwa wa last year while kwenye ligi ya sasa tunaongoza kwa mbali! Utabaki na hiyo historical records like France and a like countries against China now!
 
hahaha...ok..lakini usifananishe china na tz ama china na france...china has 1 billion people...thats like the whole of Africa..France only has about 70 million people...the population difference between Kenya and TZ is about 7 million only...kwa hivyo hata kama mnakuwa kwa asilimia 7 nasi tunakua polepole kwa asilimia 5.8, kutufikia itakua ngumu..
 
Back
Top Bottom