Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umekariri ....ngoja nikukate shule ....China by the year 2000 OFDI ilikuwa only 57 billions usd but economic reform to encourage OFDI sasa hivi wamefikia 184 billions usd and the second world largest OFDI according to world investment report. The growth rate is 44% on year to year movement. China walikuwa kichekesho just few years ago but statistics never lie. Bakia na your history while over five years Tanzania economy growth ni zaidi ya Kenya kwa mbali. Wewe bakia ukisherekea ubingwa wa last year while kwenye ligi ya sasa tunaongoza kwa mbali! Utabaki na hiyo historical records like France and a like countries against China now!



Tanzanians behave as if no Kenyan has ever set foot in that LDC country of theirs...the only thing tz imeshindia Kenya ni peace and unity.....only......maendeleo nayo mko nyuma kama shit.....vijiji v yenu ni ghost centres tu ..no sign of tangible development......hapa mnajidanganya tu na some report to console yourselves....but I noticed Tanzanians don't seem to be bothered by poverty....you sit comfortable without questioning your government or leaders....so long as you chant " najivunia Tanzania that's it"
 
mwengine anauliza kazi ya alarm clock.....Hahaha.Lusematic....I wake up at 4 am to do online writing before dashing to work by six thirty......hii Nairobi ni kutafuta pesa ndio ilituleta.....
 
hahahaha hatuzungumzii terminal...tunazungumzia passengers who have travelled...unaweza kuwa na terminals kama za London au Dubai airports lakini passengers millioni mbili tu...swali ni je mnawekamikakati gani kuhakikisha watu wanatumia JNIA
Hahahahaha, tayari mumeanza kupanic, mbona ninyi mnazungumzia GDP ambayo haiwasaidii lolote zaidi ya kwenye makaratasi?, bado njaa, hamna maji ya kunywa, millions ya watu wanaishi bila ajira, watoto wa shule wanakaa chini, slums na umasikini wa kutpwa, lakini kila siku mnaimba GDP na Lower middle income.
 
Hapo kwa FDI ya kwao kuna 36 Kenyan companies ....Hahaha
Why many businesses are closing shop
Wameamua kutoroka Kenya kwasababu no future in Kenya, economy is collapsing, they are looking for green pastures.

By investing in Tanzania they create jobs, pay taxes, and improve lives of our people, no wonder unemployment rate Kenya keeps on rising 48%, because Kenyans are stupid, they celebrate when Kenyan investors do invest elsewhere, while in Tz is decreasing 26%.
 
Bwana mdogo, usiwe kichwa ngumu dizaini ya Jubilee, nimekwambia miaka mingi mmekuwa mkisafiria nyota ya Tz, hiyo JKIA inatumiwa sana na watalii wanaoenda Zenji na Huku bara,
Sijui kama umewahi ingia hapo JKIA but utakuwa shahidi kuwa hapo JKIA zile screens zenu hudisplay schedule na unaona vile kuna frequent flights between JKIA and Kilimanjaro International Airport na Zanzibar International Airport ,(sijui kama unanielewa)
Hapo una jambo la kujifunza kuwa,
a) Tanzania tuna 3 active International Airports
b) Most of your passengers are coming to Tanzania as their Destination...

This is a reason we've set aside millions of Dollars to expand our KIA, Zanzibar International Airport, Modernise JNIA and Reestablish ATCL,
You got my Point??
Tanzania ni Kipenzi cha Dunia nzima, sababu ni kuwa Unlike Kenya, which is indeed ugly, (Kenya and Kenyans are ugly, in fact Kenyans were voted ugliest in Africa, and obviously in the world), Tanzania and Tanzanians are beautiful, with beautiful hearts, tourists come to tz making us earn billionsof dollars than ke despite that we aren't advertising our country like the way you do,
Sisi waswahili husema Kizuri (tz) hujiuza na Kibaya (ke) hujitembeza.
nimekuelewa vizuri sana hebu mfunze huyo....... na ajue kama mda unazungumza
 
even CBK is fairing well...haha 2020 Nairobi itakaaje wallahi
39487867975_a0ce0704a8_b.jpg

3yl9KVZ.jpg
wOnSFqu.jpg
Kwahiyo Dar es salaam itakuwa imesimama?
ati keko mwanga.....Hahaha

nataka watuletee picha za spenso vigunguti



we know those millions of slum houses you live in have no water.......cheap pr documentaries won't help.......
Mmeanza kupatwa na kiwewe
 
hehe....kenya is ugly but attracts more investors and more visitors than beautiful LDC tz..kipenzi cha dunia😀😀..unazungumza utadhani tourists wanaokuja bongo ni wengi kumbe ni wa kuhesabika...nchi kama zimbabwe, mozambique na namibia wanapokea watalii wengi kuwaliko.na kenya imkuwa ikipokea watalii wengi kabla ya swala la ugaidi...hehe...alafu komaa akili kuwa kama tuusan...stop your childish tendencies za matusi..
Povu
 
haha...hata sio truecaller pekee...investors walio wekeza EA asilimia 99 wapo na headquarters Kenya...kina Hilton, Google, Coca Cola, IBM, Microsoft na kadhalika...Kenya is the first choice for investors in EA...reason is because we are the bigger economy, the richer country, and the most developed one...sababu pia ni kuwa tuna better airport, better port...richer cities na kadhalika...In short we are East and Central Africa's gateway
Mnaweza kuwa na headquarters za hao investors lakini uwekezaji wao wapesa hapo Kenya ukawa mdogo. Hapo inakuwa imewasaidia nini?. Investment inabidi itengeneze ajira na ku raise income. Tanzania ndo inaongoza East Africa kwa FDI hadi sasa. We raise both employment and income. Sio kupata headquarters tu bila kuwa na impact kubwa kwenye jamii
Screenshot_20180303-101849.png
Screenshot_20180303-101950.png
Screenshot_20180303-102046.png
 
haya fanya kujumuisha FDI ya Kenya toka 2010 mpaka sasa hivi 2018 kisha ufananishe na ya Bongo kwa muhula huo huo...sasa mwaka mmoja tu unaletea nani we jamaa? inaweza kuwa kwasababu ya elections au mambo mengine yanayotendeka nchini...FDI huwa tunaangazia long-term investments...sio investment za mwaka moja unaanza kubweka bweka hapa kana kwamba una mimba😀😀😀 kwa mfano, hapo kwnye listi mmewashinda mpaka South Africa kwa mwaka 2016...does this now mean that you are more attractive than SA? hehe...stop smoking bangi bro...FDI haiangaliwi mwaka moja tu...ingekuwa tunaangalia mwaka moja tu basi nchi ndogo ndogo zingekuwa zinawashinda akina Nigeria, SA na Egypt sababu nchi hizi wamekuwa katika hali ya recession mwaka wa 2016, hivyo, wawekezaji wakaamua kusubiri mpaka watoke katika recession...this also applies to Kenya...whenever there is an election or campaign season, invstors wait for the elections to pass first before doing anything...
Sio mwaka mmoja toka 2012
 
Ati Tanzanians are beautiful....lol.natambua tu Ethiopia na Eritrea hapa east Africa kwa urembo na maybe Rwandese.......Get me a Tanzanian artist who is more beautiful than Avril or Marya....Hahaha
atuja taja msanii tumeongelea wakenya kiujumula boys and girls
 
Sio mwaka mmoja toka 2012
Huyu jamaa mara ingine huwa anaandika kwanza akishapost ndiyo anafikiria, yaani misuli yake ya vidole inafanya kazi haraka zaidi ya ubongo wake. Kabla ya kuandika nilifikiria alipaswa atazame ni kuanzia lini Tanzania imeongoza kwa kupokea FDI, lakini ameamua kitumia vidole zaidi kuliko ubongo.
 
😀😀😀😀true....kina sportpesa, KCB, Equity na I&M ndio among top investors tanzania..kuja Kenya unapata Hilton, Google, IBM, Facbook, Coca Cola, CGTN BBC na kadhalika....but I am stil wondering what these people go to school to do...
Twambie zimetengeneza ajira ngapi na ku raise income kiasi gani
We real want to know the real impact sio kuwa na headquarter jina
It can be anywhere but how much income do they raise in Kenya
 
Naona umekariri ....ngoja nikukate shule ....China by the year 2000 OFDI ilikuwa only 57 billions usd but economic reform to encourage OFDI sasa hivi wamefikia 184 billions usd and the second world largest OFDI according to world investment report. The growth rate is 44% on year to year movement. China walikuwa kichekesho just few years ago but statistics never lie. Bakia na your history while over five years Tanzania economy growth ni zaidi ya Kenya kwa mbali. Wewe bakia ukisherekea ubingwa wa last year while kwenye ligi ya sasa tunaongoza kwa mbali! Utabaki na hiyo historical records like France and a like countries against China now!
hahaaa nimeipenda sana
Wanajilawaza na ligi za nyuma kama Arsenal na Liverpool! Tumewashika pabaya
 
hahaha...ok..lakini usifananishe china na tz ama china na france...china has 1 billion people...thats like the whole of Africa..France only has about 70 million people...the population difference between Kenya and TZ is about 7 million only...kwa hivyo hata kama mnakuwa kwa asilimia 7 nasi tunakua polepole kwa asilimia 5.8, kutufikia itakua ngumu..
itakuwa ngumu not with those cooked figure
 
Tanzanians behave as if no Kenyan has ever set foot in that LDC country of theirs...the only thing tz imeshindia Kenya ni peace and unity.....only......maendeleo nayo mko nyuma kama shit.....vijiji v yenu ni ghost centres tu ..no sign of tangible development......hapa mnajidanganya tu na some report to console yourselves....but I noticed Tanzanians don't seem to be bothered by poverty....you sit comfortable without questioning your government or leaders....so long as you chant " najivunia Tanzania that's it"
Vijiji tajiri East Africa vipo Tanzania na Uganda
 
Back
Top Bottom