Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

we unajua stones let me show you😀😀😀😀😀😀
stone house
e18befac-0c3f-4381-923c-e74d886ac0f6.c10.jpg

matofali ya kuchoma
10-jpg.37892
DSC07115.JPG

haya sasa nieleze hii ni stone au matofali ya kuchoma hahaha we unafkiri sisi wapuuzi sana😀😀😀😀😀😀
hii nairobi hebu nieleze sasa nikuumbue leo mchana kweupe
mumekosa pesa ya kupaka rangi munasingizia stones

IMG_20160226_174011.jpg
View attachment 703511
images
CpB5MCFwN92mMpGl21P6obnhOsb463Qd.JPG
egtYpLhl0hPWp3KbutxTTJKdedVsSQdS.JPG
roxspsrkjmhijo58b90a50cfff4.jpg
PLOT-1.jpg

I can see your Nairobi experience is only limited online yet still you can't differentiate the obvious.
 
You are always very late in everything! Before you even contemplated borrowing a loan to build this one, Kenya was doing away with it's toll stations for more efficient and integrated Fuel Levy scheme as a way of collecting/funding for road construction/maintenance.
Although they might be reintroduced on planned express highways,the toll gates will be under Public-Private Partnership (PPP). I wonder which scheme you fellows are using.
Hiyo kitu ni 100% local finance na siyo loan. Umejiaibisha bora unge uliza. Halafu hizo schemes zote unazo ziongelea bongo zinafanyika, hivi Magu anavyo jenga reli unazani pesa anaziokota from no where! acha nikuache, You guys just go ahead with China grade 1 loans
 
Hakuna video clip ndio maana nakwambia utafute bundle
Essay on Water Scarcity in India (1113 Words)
Lengo ni kukuonyesha kwamba, Kenya imefikia ukingoni, sio rahisi kuitetea hasa kutaka kuilinganisha na Tanzania, kama umefikia hatua ya kudanganya kwa kuweka picha za nchi nyingine ili kuidhalilisha Tanzania, hiyo ni dalili kwamba umeshindwa kulinganisha Kenya na Tanzania badala yake unaomba msaada toka nchi zingine, hiyo picha hapo juu uliyotoa India na kusema ni Tanzania inakuumbua, mpuuzi wewe kabisa.
 
Hawa walikuwa wanachota maziwa?
PIC.jpg
 
Hawa walikuwa wanachota maziwa?
PIC.jpg
Kila ukiweka picha weka ushahidi hapo ni Tanzania, wewe ni mtu mzushi hakuna atakayekuamini siku hizi, tumekuonyesha picha karibu zote unazoweka sio Tanzania, prove kama hii ni Tanzania, acha ujinga.
 
Back
Top Bottom