Na hiyo sio cbd ya westlands..... It's Just a section of westlands districtNa huku ni westlands. Building zao zimecluster one part of the city pekee, ukiwaambia kuna cbd, westands ana upperhill wanashindwa kucomprehend, its like 3 cities in one
hehehe pesa ya kujenga pinnacle na montave hawana anatuonesha vi hoteli vya gorofa mbiliπππ
Kama ingeku hatuna mungejua leo tanzania imefika ilikofika haha eti kenya wazee wa sifa duniani wanayo secret admire hahah kadanganye watoto wa miaka miwiliπππSecret admirer . Kwenu havipo.
Nimekuambia acha ujinga, hukusikia kwamba huyo diwani aliyecharazwa mapanga tayari watu kumi wamekatwa na sababu ya kuuliwa inatokana na kulipiza kisasi baada ya huyo diwani kumtuhumu kuhusika na kifo cha ndugu yao kutokana na ugomvi wa mashamba?, sasa unataka serikali ihusike kumzika kila mtanzania?.Wale wapinzani wanaocharazwa mapanga kila siku hawana thamani ya uhai au sio watanzania? mbona serkali haijakemea wala kugharamia mazishi? a despot's government is so hypocrisy.
Wakwapi tuoneshe tafadhaliπππWale wapinzani wanaocharazwa mapanga kila siku hawana thamani ya uhai au sio watanzania? mbona serkali haijakemea wala kugharamia mazishi? a despot's government is so hypocrisy.
lakini polisi huwa na grudge sana na a university comrade........during our time tuliwahi rushiwa teargas ndani ya hoteli tulimokuwa tukila.......and walivunja comrades wengi na fimbo zao.......you know if you are rioting and calling them losers or academic dwarfs then wapatane na wewe on your own....they won't hesitate decapitating you or terminating you all together.
Nimekuambia acha ujinga, hukusikia kwamba huyo diwani aliyecharazwa mapanga tayari watu kumi wamekatwa na sababu ya kuuliwa inatokana na kulipiza kisasi baada ya huyo diwani kumtuhumu kuhusika na kifo cha ndugu yao kutokana na ugomvi wa mashamba?, sasa unataka serikali ihusike kumzika kila mtanzania?.
Wewe acha kukimbia ukweli, ninyi hata kulaani tu hamlaani mpo kimya kama wanyama, watu wanauliwa na polisi wenu kila siku, ninyi mnaweka mmikia matakoni, polisi wenu wanaongoza kwa kuuwa raia hapa Afrika, kwasababu raia wenyewe wanachukiana, akiuliwa mkikuyu, Jaluo anafurahia, akiuliwa Jaluo, mkikuyu anachekelea, bure kabisa failed state.

Sio polisi wa Kenya pekee, dunia nzima polisi wana tabia ya kuwa katili, lakini inategemea sana na reactions za wananchi na serikali pale inapotokea wamefanya mauaji, hapa Tanzania, kunakuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi, taasisi zisizo za kiserikali na viongozi wa dini kulaani endapo itatokea, kama ilivyotokea last week, makelele hayo huwa yanawastua polisi na serikali yenyewe, mara nyingi wanachukua hatua.lakini polisi huwa na grudge sana na a university comrade........during our time tuliwahi rushiwa teargas ndani ya hoteli tulimokuwa tukila.......and walivunja comrades wengi na fimbo zao.......you know if you are rioting and calling them losers or academic dwarfs then wapatane na wewe on your own....they won't hesitate decapitating you or terminating you all together.
Kama ingeku hatuna mungejua leo tanzania imefika ilikofika haha eti kenya wazee wa sifa duniani wanayo secret admire hahah kadanganye watoto wa miaka miwiliπππ
Pesa ya kujenga pinnacle na montave na hamuna ndio ukweli mutasubiri 30yrs
Hapa hatuzungumzii awe CCM au chama gani, muuaji ni muuaji tu, sisi huku hatujali sio kama huko Kenya, Jubilee akiua NASA, serikali haishughuliki kukamata watu. Muhimu ni kwamba wote waliohusika na mauaji ya Dar na Moro, polisi imewakamata bila kujali vyama vyao na watapelekwa mahakamani, jambo ambalo sio rahisi kutokea Kenya, hasa pale ambapo Jubilee ndiyo waliotekeleza mauaji, au polisi ndiyo waliohusika.We mpare acha longolongo zako,,,,,,na yule aliuliwa dar? kwanza huyu wa mapanga ni mashamba wanang'ang'ania na watu wa CCM,si walikata umeme nyumbani kwake ilhali jirani zake wanao kisha mkaingia kumchinja nakisia mlizani ana viungo vya albino.
Nimekuambia acha ujinga, hukusikia kwamba huyo diwani aliyecharazwa mapanga tayari watu kumi wamekatwa na sababu ya kuuliwa inatokana na kulipiza kisasi baada ya huyo diwani kumtuhumu kuhusika na kifo cha ndugu yao kutokana na ugomvi wa mashamba?, sasa unataka serikali ihusike kumzika kila mtanzania?.
Wewe acha kukimbia ukweli, ninyi hata kulaani tu hamlaani mpo kimya kama wanyama, watu wanauliwa na polisi wenu kila siku, ninyi mnaweka mmikia matakoni, polisi wenu wanaongoza kwa kuuwa raia hapa Afrika, kwasababu raia wenyewe wanachukiana, akiuliwa mkikuyu, Jaluo anafurahia, akiuliwa Jaluo, mkikuyu anachekelea, bure kabisa failed state.
Haikusimama 4 yrs itakuja kusimama 1 year hahahahahahππππππUtashikwa na kigugumizi utakapoiona imesimama.
USA has the highest gun killing statistics.....failed state too?Nimekuambia acha ujinga, hukusikia kwamba huyo diwani aliyecharazwa mapanga tayari watu kumi wamekatwa na sababu ya kuuliwa inatokana na kulipiza kisasi baada ya huyo diwani kumtuhumu kuhusika na kifo cha ndugu yao kutokana na ugomvi wa mashamba?, sasa unataka serikali ihusike kumzika kila mtanzania?.
Wewe acha kukimbia ukweli, ninyi hata kulaani tu hamlaani mpo kimya kama wanyama, watu wanauliwa na polisi wenu kila siku, ninyi mnaweka mmikia matakoni, polisi wenu wanaongoza kwa kuuwa raia hapa Afrika, kwasababu raia wenyewe wanachukiana, akiuliwa mkikuyu, Jaluo anafurahia, akiuliwa Jaluo, mkikuyu anachekelea, bure kabisa failed state.
is USA in africa????ππππππUSA has the highest gun killing statistics.....failed state too?
Tanzania kuielewa itakusumbua sana.Leo umejitahidi na kuleta apartment! Kongole, ila najua iko pale karibu na beach. Nairobi apartments kama hizo ziko kila mahali. Hiyo ni moja ya tofauti zilizopo kati ya Dar na Nairobi
Maswali ya aina hii ndiyo yanayowadhalilisha wakenya na kuonyesha ni kwa jinsi gani uwezo wenu wa uelewa ulivyo mdogo, failed state inahusisha vipengele vingi, hiki kikiwa kimojawapo, lazima viwepo vyote kwa pamoja ndiyo uweze kupata hiyo status, US inaweza kuwa na viwili au hata vitatu, lakini kama haijafikisha haiwezi kiwa failed state.USA has the highest gun killing statistics.....failed state too?