Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo umejitahidi na kuleta apartment! Kongole, ila najua iko pale karibu na beach. Nairobi apartments kama hizo ziko kila mahali. Hiyo ni moja ya tofauti zilizopo kati ya Dar na Nairobi
Apartments ziko kila mahali pia Dar
 
Huenda wewe sio resident wa Dar so nakuomba uingie Google earth uone vile jiji lenu limejaa nyumba za mabati kila mahali. Google earth doesn't lie my friend.

Dar hamna nyumba zilizotengenezwa kwa mabati.
 
Msasani apartments
f68e9f037a65295d44703d684aa19efc.jpg
kuna ile ya kenya..... ya airport vipi unaionajd ile apartment...
 
Huenda wewe sio resident wa Dar so nakuomba uingie Google earth uone vile jiji lenu limejaa nyumba za mabati kila mahali. Google earth doesn't lie my friend.
ndiyo..... nipo uku masai mara...... dar sipajui...... naijua rombo tu...

na najua kabisa kama nyumba za dar zimejaa mabati ila zetu zimejaa zege
 
Hahahahahahahaha, kumbuka real estate ya Dar value yake $12B wakati Nairobi nib$9B, hiyo pesa yote inaenda wapi kama nyumba ni duni kama Nairobi?. Dar hoyeeeee
achana naye huyo jamaa anaupungufu kichwani mwake.... anaongeaga vitu ambavyo hata havijui...
 
nairobi global trade center...176m, 141m..hehe how tall is PSPF, TPR?
Avic-800by600.jpg
avic-use-this-960x608_c.png

ImgBB_12.jpg
Hizi majengo zinaenda kwa mwendo wa kasi sana! it's almost reaching 20 floors na ujenzi ulianza majuzi tu...Sijui wabongo watakimbilia wapi hizi majengo sita zikikamilika tukingoja Pinnacle na Montave.
 
Pinako na montave mtangoja sana...
morroco square mbona kuna nyumba nne na mall kubwa tu ata june haifiki zinazinduliwa...MNF, PPF, MZIZIMA TOWERS zote mwaka huu zote ni zaidi ya 140M. ...MZIZIMA yaweza fika 170M na PPF zaidi ya 160M
 
wapi pinnacle na montave???😀😀😀😀
 
Pinako na montave mtangoja sana...
morroco square mbona kuna nyumba nne na mall kubwa tu ata june haifiki zinazinduliwa...MNF, PPF, MZIZIMA TOWERS zote mwaka huu zote ni zaidi ya 140M. ...MZIZIMA yaweza fika 170M na PPF zaidi ya 160M
Did you say YAWEZA fika?Avic will be the tallest building in east Africa upon its completion awaiting pinnacle. Alafu Morocco is such a dwarf building kulinganisha na Avic. Hiyo Morocco imefika hata 20 floors
 
Yeah morroco square kuna 22,20flr zile za kawaida ndio 17,13flr ...Pia wana Mall 20ksqm underground parking yakutosha gari 2k ...
 
Back
Top Bottom