El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
GDP yetu imekuuma sana.....tuko 78.....ldc tanganyika wako 46......lol
GDP yetu imekuuma sana.....tuko 78.....ldc tanganyika wako 46......lol
Kenya falls in ‘Failed State Index’ rankingsGDP yetu imekuuma sana.....tuko 78.....ldc tanganyika wako 46......lol

after South Africa and France.....😀😀😀😀😀😀😀😀
![]()
Hili gazeti linakaa la watu wa ocha(village). Ata font zimebeat
imeniuma vp munapika tu hahaha😀😀😀😀😀ukweli hamuupendi masikini GDP, debt to GDP ratio 60%GDP yetu imekuuma sana.....tuko 78.....ldc tanganyika wako 46......lol
watu wanaishi kama nguruwe aisee😀😀😀😀😀😀😀Duuh kibera hatari sana,,,
Dar gani hiyoDar moto mwingine weka mbali na nai-chang'aa.....
6 in 1.....Sasa hii uchafu pia unaleta hapa msee? Poor kenyans
Ungejua hayo ni magazeti yanayosomwa zaidi uswahilini usingepanic kuhusu uborahehe those newspapers are so lame. huwezi kuamini ni national newspaper. first page ni kama zinafanywa editing na high school dropouts 😀 kubeat nayo! Ati Gaidi: Mtoto auwawa mkuranga, alafu wanaweka picha ya gaidi na photoshop ya pistol hapo kando hehe. Marehemu nao wanachorewa mpaka arrow ya kuonyesha ni wapi wanazikwa. Ni kama cartoon
vibanda ni Dar. ingia Google earth uone vile vibanda vimetapakaa kila mahalidah mbali na estate nyie ni hamna kitu kama estate zenyewe ni mbaya hazivutii je hizo nyumba za mmoja mmoja hapo chini niajee mbona ni vibanda vituko