kifusi boy
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 1,141
- 1,752
Tulia ww uelimishwe....Wanafanya.....nn cbd na sufuria na samaki meaning. Wana cbd apartment 11 concrete storey...karibuEvery tenant with one room sharing toilet.
Hiyo barabara ni Kivukoni front...
Inaanzia bandarini kwenye hizo giants ( PSPF, MNF na TPA ) hadi ferry....
Hapo unapopaona ni fews metres to the largest fish market in East and Central Africa... that's MAGOGONI FERRY
Those mama's you see on the pic are coming from the fish market and goes to their usual homes...
Sasa nitakushangaa unaposhangaa Samaki kubebwa kwenye ndoo... kwasababu hao ni wafanyabiashara wadogo kwhy no way out to carry them on bucket...
Halafu eneo hilo hakuna apartment hata moja....
Every tenant with one room sharing toilet.