Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Hakuna mshiko, you have commercialized begging in your home country. Professional begging is a thing in Tanzania, I hear they are very convincing beggars. "Naomba unisaidie hata shilingi moja mungu atakubariki..." Others play some traditional music equipment around the streets of Nairobi mostly unapata ni familia mzima kutoka babu hadi wajukuu wamekaa chini wakicheza melodies za kibongo (very eerie sounds I think they were specifically made for begging if not for church).
aisee nimewakubali hao na nimewavulia kofia nimegundua kitu aisee wakenya wenzenu nj nowma sana na wana mbinu sana mpaka wanafikia hatua yakujifanya wabongo.... swafi kabisa kweli kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake