Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

b:
 
Kenya kamwe haiwezi kuizidi maendeleo Tanzania, akili zenu zimejazwa ujinga na sifa za kijinga kudhani kwamba mpo juu ya Tanzania kimaendeleo, sema ni maendeleo gani ambayo Kenya imeipita Tanzania?.

Tanzania inasisitiza maendeleo ambayo ni people centered, kama vile upatikanaji wa chakula, maji safi na salama, makazi bora, huduma za afya, ajira kwa wananchi, security, elimu na haki sawa kwa watu wote, hivi ndivyo tunavyoita maendeleo, na karibu vingi kama sio vyote kati ya hivyo, Tanzania ipo juu ya Kenya, wewe hayo maendeleo unayosema Kenya imeizidi Tanzania ni yapi?, tafadhali orodhesha ili utuambie kwenu mnaposema maendeleo mna maanisha nini?

Kuhusu hizo picho, hiyo ya chini pekee ndiyo inaonyesha land mark ya Tanzania, kitu cha kushangaza ni kwamba, kwanini mnaleta picha iliyopigwa toka mbali sana angani, utazionaje nyumba na mazingira ili kujua kama ni slums, hapo ni Magomeni, kwa taarifa yako Magomeni is one among district which is catching up very fast, soon will be the same as you CBD, lete picha za horizontal ujionee Magomeni ilivyo.
You are just a typical Tanzanian - deny deny deny. Self denial has what has kept you in ldc to date. kwa hizo mambo zote ulizotaja, niletee link inagosema kwamba Tanzanians have access to clean drinking water compared to kenyans. A link that proves you have a better education system than ours. A link that shows your people have access to quality and affordable health-care compared to kenyans. Another one that states that tanzania is safer than kenya. Also bring me a confirmation that Tanzanians have better jobs than kenyans etc etc. As far as am concerned, kenya has a bigger economy than Tanzania. Infact Nairobi has a bigger or equal economy to the whole of tanzania. Najua mtasema imepikwa but that's the same denial I keep mentioning to you.Secondly, Kenya has morw middle class population compared to tanzania among many other things. I cantelist them all here. Nangoja links
 
To decide to be a fool is a choice, nimekuambia uniambie hayo maendeleo unayosema Kenya imeizidi Tanzania uyataje then uthibitishe kwamba katika kila kipengele utaje kama imeizidi Tanzania, badala ya kunijibu unaniuliza mimi tena, kwani aliyesema Kenya inaizidi Tanzania kwa maendeleo si ni wewe, ninataka utaje kila eneo ambalo Kenya imeizidi Tanzania, then show ebidence, huna evidence unataka mimi ndiyo nikutafutie evidences, stupid a boy from a failed state.
 
Evidences?
Unahitaji evidence gani zaidi ya zile picha zililetwa na el matador? Huwa naamini wewe ni mkaazi wa dar so unajua jiji lenu but just in case you are not, ingia tu google earth, search for dar es salaam alafu uone vile huo mji imejaa na dream houses kila corner
 
To decide to be a fool is a choice, nimekuambia uniambie hayo maendeleo unayosema Kenya imeizidi Tanzania uyataje then uthibitishe kwamba katika kila kipengele utaje kama imeizidi Tanzania, badala ya kunijibu unaniuliza mimi tena, kwani aliyesema Kenya inaizidi Tanzania kwa maendeleo si ni wewe, ninataka utaje kila eneo ambalo Kenya imeizidi Tanzania, then show ebidence, huna evidence unataka mimi ndiyo nikutafutie evidences, stupid a boy from a failed state.
Asira zako peleka kuleee tandale au mwananyamala kuwe vijiweni...last time I checked Tundu Lisu alitibiwa Kenya. Secondly, your countrymen have flooded our schools right from kindergarten level to college level in search of better education. I have just given you two examples but I can go on if you have time to engage me on this stupid danganyikan
 
Just the same way Nairobi is more developed than Dar. size doesn't really matter. The level of development of an area is what really matters
unaona sasa ulivo kilaza😀😀😀😀😀

hehehe msumari umeingia vyema.. dar of 2018
 
Asira zako peleka kuleee tandale au mwananyamala kuwe vijiweni...last time I checked Tundu Lisu alitibiwa Kenya. Secondly, your countrymen have flooded our schools right from kindergarten level to college level in search of better education. I have just given you two examples but I can go on if you have time to engage me on this stupid danganyikan
kama alitibiwa kenya europe alienda kufanya nn mpaka leo yuko europe, sasa tuambie anafanya nn na ile risasi mlioshindwa kuitoa kashatolewa europe😀😀😀
 
Back
Top Bottom