Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

068E988C-3F67-44E3-9DDD-7AB3054D9B45.png
 
kama alitibiwa kenya europe alienda kufanya nn mpaka leo yuko europe, sasa tuambie anafanya nn na ile risasi mlioshindwa kuitoa kashatolewa europe😀😀😀
Alipokuwa akikuja Kenya hakuwa anajua Europe iko?
 
Alipokuwa akikuja Kenya hakuwa anajua Europe iko?
si baada ya kushindwa ikabidi apelekwe europe😀

na aliletwa kwenu kwa usalama wake kwasababu yeye ni chama pinzani na familia yake ndio waliamua hvo
 
si baada ya kushindwa ikabidi apelekwe europe😀

na aliletwa kwenu kwa usalama wake kwasababu yeye ni chama pinzani na familia yake ndio waliamua hvo
Jiengalie ulivyo mjinga. Kama mko na better healthcare mbona mkavuka border kuja kenya? secondly kama ni kuhusu usalama wake mbona hakurnda hata uganda ama Rwanda? Why just Kenya? Continuet to live in denial danganyikans
 
Niliwah kwenda kwenye sherehe flan ilikua harusi,tukapiga bia sana bia zikaisha jamaa wakasema bia zimeisha ila kuna tusker mtakunywa?hahaha ndio mara ya kwanza kunywa tusker...baada I beer kuisha
Tusker is the best beer in Africa ..acha ufala zako...Tanzanians don't drink it because its Kenyan made
 
Jiengalie ulivyo mjinga. Kama mko na better healthcare mbona mkavuka border kuja kenya? secondly kama ni kuhusu usalama wake mbona hakurnda hata uganda ama Rwanda? Why just Kenya? Continuet to live in denial danganyikans
Unaelewa maana ya usalama wake kwasababu yeye ni chama pinzani kipi usichoelewa ni sawa raila apigwr risasi we unafkiri familia yake watakubali atibiwe kenya kwasababu ya usalama wake??? Kenya ndio karibu aende rwanda au uganda wakat ni over 1500km wakat hapo kenya ilikua just 600km tumia akili wewe
 
Mimi ninaijua Dar sana, japo sio mkazi wa Dar, ndiyo sababu ninakuambia hizi picha nyingi sio za Dar, tusibishane sana, tafadhali lete ushahidi kuthibitisha, kama huna ushahidi basi tafuta picha zingine zenye landmarks za Dar
 
Ila nyie washindani wa humu huwa mnanipa raha,eti Tzn vision 3080 ni hako kabaraba ka mzunguko
Niliacha kuchangia baada ya kukuta hakuna aliye realistic ila kila mtu ni muwambs ngoma au bliñd patriot anavuta kwake
 
Tusker is the best beer in Africa ..acha ufala zako...Tanzanians don't drink it because its Kenyan made
Tuna beer za maana kuliko tusker,Safari lager hii ndio best of the best, Kilimanjaro lager, Serengeti lager &lite...kwann tunywe beer cheap kama Iyo? Na kama tusker ni bora basi wewe hujui beer. ...
beer pekee yakiafrica imenikosha ni windhoek kutoka Namibia

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom