El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Ndio hiyo Ruai
kilichokurudisha ni nini??? tueleze😀😀😀Ila nyie washindani wa humu huwa mnanipa raha,eti Tzn vision 3080 ni hako kabaraba ka mzunguko
Niliacha kuchangia baada ya kukuta hakuna aliye realistic ila kila mtu ni muwambs ngoma au bliñd patriot anavuta kwake
asante na karibu tena😀😀😀😀Umeelew nilichokiandika au unakurupuka kujibu,nimetoa comment ya kuonesha hisia za kucheka ila sio kuanza mabishano,,nafuatilia Uzi kila siku ila siwezi kutoa comment kwa msingi wa argument kwa sababu nilizoeleza hapo juu
hatari sana.Comment za wakenya izo kuhusu iyo habari
![]()
![]()
![]()
Kenya in a Death Row, Hivi ni kweli mmefika huku au wanawasingizia?Ndio hiyo Ruai
![]()
![]()
Magu atakua ametokea Space, Akili zake Sio za Mwanadam Wa KawaidaTanzania SGR the best electric bullet train of Africa
thanks magufuli thanks kikwete😀😀😀😀
Best president on Earth until now