You know what joto, this self denial is one of the things that have kept you in ldc 50 years since you became an indepent state. You keep lieing to yourselves that you don't have pressing problems that need your government's attention. Instead of accepting you have a problem and chart a way forward on how to tackle it, you deny that such a problem doesn't exist and that's why mko chini kimaendeleo. sisi gulo na kibera na mitaa zingine za mbovu lakini tunakubali zipo na tunaendelea kuziboresha like we've shown in many pictures in this forum. I am so disappointed that you deny those are not pictures taken from Dar while one of them even shows a brt road passing through it! Continue living in denial. Ooh sorry...na muendelee kuleta picha za kibera
Kenya kamwe haiwezi kuizidi maendeleo Tanzania, akili zenu zimejazwa ujinga na sifa za kijinga kudhani kwamba mpo juu ya Tanzania kimaendeleo, sema ni maendeleo gani ambayo Kenya imeipita Tanzania?.
Tanzania inasisitiza maendeleo ambayo ni people centered, kama vile upatikanaji wa chakula, maji safi na salama, makazi bora, huduma za afya, ajira kwa wananchi, security, elimu na haki sawa kwa watu wote, hivi ndivyo tunavyoita maendeleo, na karibu vingi kama sio vyote kati ya hivyo, Tanzania ipo juu ya Kenya, wewe hayo maendeleo unayosema Kenya imeizidi Tanzania ni yapi?, tafadhali orodhesha ili utuambie kwenu mnaposema maendeleo mna maanisha nini?
Kuhusu hizo picho, hiyo ya chini pekee ndiyo inaonyesha land mark ya Tanzania, kitu cha kushangaza ni kwamba, kwanini mnaleta picha iliyopigwa toka mbali sana angani, utazionaje nyumba na mazingira ili kujua kama ni slums, hapo ni Magomeni, kwa taarifa yako Magomeni is one among district which is catching up very fast, soon will be the same as you CBD, lete picha za horizontal ujionee Magomeni ilivyo.