evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,774
Mbona kakakaa kama mvuta bangi,huyo namtabiria kifo cha mende kabisa bora afanye ukora cbdhii ndio faida ya kufanana na mtanzania diamond platnumz.
hatimaye kijana mkenya anayefanana kwa baadhi ya vitu na diamond platnumz ameshatoboa kimaisha kwa ku-sign deal na kampuni moja pale nairobi.
bongezi kwa comedian mkenya eric omond kwa kum-promote kijana huyu. otherwise angekuwa anaendelea kuendesha bodaboda ushago kwao.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
NB:
kama kuna watz wanafanana na macebrity wa kikenya basi wajue kuwa hawana bahati na hawatafika popote sababu macebrity wengi wa kenya hawana mvuto.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
fake, photoshop at work.