Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

povu la usiku.
Mzee kadoda11, 2020 tukiongea mambo na nuclear energy, charging stations ya electric cars, MRT, space exploration (launching satellite) nitakubali lakini tukiongea kuzindua flyover nitakataa.
Ni kama juzi mkituaibisha ati mna launch lift.
BptR55IIMAAhe39.jpg:small

14516716992_ef8e1ba887_b.jpg

14331208029_ab74ae3cf7_b.jpg

Kwani hamchoki kujiaibisha?
 
Hio no transformer katikati ya highway?
One question I keep asking, why do I hardly see pictures of dar Streets..
hio picha ya kwanza hapo sio highway ni ndani ya streets za CBD lakin ni njia yake pekeake
 
Kwenye hotel hawa tufikiï
For your information in last year's world travel awards Fairmont Mount Kenya Safari Club took Africa's leading hotel and Sarova Hotels, Resorts and Game Lodges took Africa's leading hotel brand
 
Hahahah, Eti mwaka 1990, KCB tower hiyo hapo kulia , Britam ndio inanyanyuka hapo katikati na UAP mwisho kabisa kushoto . Hizo nazo mlijenga 1990? Britam yenyewe bado hamjahamia. kitu mbashara miaka

f85e917d747b27a0ae91bd1b2604b60c.jpg
Hahaha hua hawaonyeshi huo mvurugo a cubs kabisa
 
Mzee kadoda11, 2020 tukiongea mambo na nuclear energy, charging stations ya electric cars, MRT, space exploration (launching satellite) nitakubali lakini tukiongea kuzindua flyover nitakataa.
btw, 2020 mtakuwa mnaendelea kuchimba shimo la "pinako tawa" kuekea chini.the biggest ghost project ever.
 
leo nitaamka nawewe kwenye beach hotels kama hukumsikia waziri wenu najib balala maelezo yake basi leo nitakuonesha uhalisia 😀😀😀😀😀
My main aim was not to show you Resort but different towns with them.. Apart from Arusha na Zanzibar Tz has nothing much to show interms of tourism...

Our tourism is greatly spread.
 
hakika hakuna siku ngumu wakenya wame experience hapa jf kama jana. inaonekana kuna wengine hata kulala usiku wa leo hawakulala, mda wote wa usiku wame u-spend ktk thread hii wakitoa porojo.

hii ndio jf sasa... na hii ndio tz ya ya miaka hii. ukiona jirani yako aliyekuacha mbali kimaendeleo anapoteza mda wake mwingi na hata kukesha usiku kujadiliana na wewe, fahamu kuna vitu ka-notice kuhusu kasi yako. kwamba unampumulia hatua chache toka makalioni kwake.
 
  • Thanks
Reactions: nao
My main aim was not to show you Resort but different towns with them.. Apart from Arusha na Zanzibar Tz has nothing much to show interms of tourism...

Our tourism is greatly spread.
mzee wa night shift pole kwa kukesha. bila shaka wewe ni gateman wa apartment za westland. hujalala leo.
 
Lets discuss next year same time same topic.. Kama tourist hawatakua wengi kenya kuzidi Tz...

Adui akikusifia usishereke sana jiulize anapanga nini? Wait and see
asante kwa kutoa kauli ya kujifariji.hongera.
 
Being proud of a flover in 2020 is so embarrassing to Africa, gosh I hope its only East Africans who saw and understood this post. Don't ashame us guys, seriously!?
tuambie, estimate za ujenzi wa "pinako tawa" by 2020 inaonyesha mtakuwa mmefika flo ya ngapi? au mtakuwa bado mnazidi kuchimba shimo.
 
Iyo pinnacle hewa ata hawaanza underground bado wanachimba handaki kama litajengwa kuisha ni 2040
 
Meanwhile MNF towers,PPF tower,MZIZIMA towers mwaka huu zinakua tayari. ..
Zote ni zaidi y 145M....Mwaka huu unaisha kwenye skyscrapers tutakua another level
 
Back
Top Bottom