Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kweli wewe ni old school.
Hakuna pond imeongezwa hapo, the pond you are talking about is actually the sky, turn the picture upside down ujionee. Hizo illusions zako no too much, toa lock joh.
Jamani nisaidieni Mimi naona magugu maji na majobless yaki punga upepo hilo bwawa liko wapi
 
you sound very stupid...FYI i'm very familiar with uhuru park, i have been there many times.

i'm one % sure that is photoshop,uhuru park has no large size pond with heavy forest.

this is the uhuru park i know.

20e4d9cded4ae2734d5fa7e0acba413e.jpg
a23ac9e35fbbdc79a37162ef24d00c5b.jpg
478b75aea37bbfdb248d2567fe63e14b.jpg
6c135c9ba6269b9d6b323aa9caa79d5b.jpg
be3a5c2ffc28bda5572eb8a96d41cd54.jpg

Kwa kweli wewe ni old school.
Hakuna pond imeongezwa hapo, the pond you are talking about is actually the sky, turn the picture upside down ujionee. Hizo illusions zako no too much, najua ilikuwa Friday lakini toa lock joh.
hujajibu swali langu kuhusu pinako.
Pinako ndio nini mzae
 
na Tanzania......Hahaha.Lagos nayo ni so ugly ......shell BP oil revenue deceives that it has a vibrant economy.....afadhali Dar sasa compared to Lagos
Cha ajabu GDP ya Lagos ni kubwa kuliko ya Kenya nzima
 
It is not your fault, problem is your education system and news media, apart from Uganda 80% and South Sudan, no other country uses Mombasa port as its primary port

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app

Mombasa port handled 30 million tonnes last year....Dar port bado is struggling at 14 million tonnes....Hahaha.Ni bidii tu watanzania....no shortcuts
 
Kwa kweli wewe ni old school.
Hakuna pond imeongezwa hapo, the pond you are talking about is actually the sky, turn the picture upside down ujionee. Hizo illusions zako no too much, najua ilikuwa Friday lakini toa lock joh.
Pinako ndio nini mzae
ndio kusema pinako tawa huijui? .au mpaka nikuandikie kwa kingereza?. haya pinnacle tower
 
Mombasa port handled 30 million tonnes last year....Dar port bado is struggling at 14 million tonnes....Hahaha.Ni bidii tu watanzania....no shortcuts
Give evidence for this information, otherwise will be regarded as desperate words from failed state
 
na Tanzania......Hahaha.Lagos nayo ni so ugly ......shell BP oil revenue deceives that it has a vibrant economy.....afadhali Dar sasa compared to Lagos
Nigeria wana hela kule watu ni matajiri kwelkwel sio uku east kelele tu
 
umekubari kuwa ni photoshop.good.
Wewe unajua photoshop ni nini? The cameraman actually got you, that's exactly what he was looking for... Illusion.
Unaona bahari wakati bahari yenyewe haiko ila ni sky lol.
You see kenyan photographers arr geniuses.
 
Kwa kweli wewe ni old school.
Hakuna pond imeongezwa hapo, the pond you are talking about is actually the sky, turn the picture upside down ujionee. Hizo illusions zako no too much, najua ilikuwa Friday lakini toa lock joh.
Pinako ndio nini mzae
This people pretend they know Nairobi wakati wanaisoma kwa magazeti na kusikia redioni. Leave him alone. Nashangaa ni uhuru park gani alienda. I am the one who posted that picture.
 
Nigeria wana hela kule watu ni matajiri kwelkwel sio uku east kelele tu

Hahaha west Africa hakunanga kitu huko.............mbona wanigeria wote wanatoroka nchi yao wamejazana Nairobi na South Africa
 
Wewe unajua photoshop ni nini? The cameraman actually got you, that's exactly what he was looking for... Illusion.
Unaona bahari wakati bahari yenyewe haiko ila ni sky lol.
You see kenyan photographers arr geniuses.
sijawahi ona creativity ya kijinga kama ile.
 
ndio kusema pinako tawa huijui? .au mpaka nikuandikie kwa kingereza?. haya pinnacle tower
Just so you know, the completion date has never been changed, so nyinyi hapa mkiimba ati ilikuwa ianze 2014 nashangaa kuna building gani iko na start date ya 2014 na completion 2020. 6 years kwani wanajenga nchi? Wazee mjipange 2020
 
Mzee kadoda11, 2020 tukiongea mambo na nuclear energy, charging stations ya electric cars, MRT, space exploration (launching satellite) nitakubali lakini tukiongea kuzindua flyover nitakataa.
Ni kama juzi mkituaibisha ati mna launch lift.
BptR55IIMAAhe39.jpg:small

14516716992_ef8e1ba887_b.jpg

14331208029_ab74ae3cf7_b.jpg

Kwani hamchoki kujiaibisha?
And just in case you didn't know, Mbeya is actually a city. A whole city with only one building having a lift and they had to tell the whole about abiut its launch! Tanzania ni nchi ya maajabu
 
Back
Top Bottom