Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nyumba kama hizi dar umekosa😀😀😀😀
yani binaadamu anaishi kwenye mabanda ya nguruwe
View attachment 696655
oops
maduka-1.jpg
 
Leta ripoti ya hayo unayosema na pia hao wezi wa Ikulu ya ********.
Ndiyo kwanza ninasikia kutoka kwako kuhusu wezi wa Ikulu, ningependa kujua zaidi kuhusu hilo, tafadhali niambia ikiwezekana nipe link nisome
 
earlier today:
UDART kupitia bandari ya dar es salaam imeshusha mabasi mapya yapatayo sabini ya mradi wa BRT.

muggers chupi zinawabana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

1e265604627189fdddd348917e2e2535.jpg
a192dd1550f40c250d4b975625245db7.jpg
9afcaaf8e7742e5b12b60378eeee1818.jpg
 
Back
Top Bottom