Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

magaroi tz yanajua kuogelea
IMG_5885.JPG
 
Kama wale walivyo vamia Police station Dar es salaam ya CBD na kupokonya Jeshi La Polisi bunduki? Kumbuka pia wale wezi wa Kuku State House ya Rais wa Muungano wa Tanzania.
Wale ni majambazi hawajatoka nje ya Tanzania, baada ya lile tukio tuliwakamata wote na husikii hata jogoo likiwika. Ninyi hawa Alshabaab wanavuka mpaka na kufanya wanavyotaka, sasa hivi ni zaidi ya miaka minne, hamna na wala hamuwezi kuwafanya lolote, sasa KDF wanafanya nini huko Somalia?, stupid nyang'au.
 
yaonesha BRT inakuumiza sana😀😀😀😀
nilidhani usafiri tz ni wa kisasa jinsi mnavopenda kuponda matatu....sasa nikikuuliza gani bora kati ya matatu na haya mabakuli yaliyo na magurudumu utaniambia nini bro?
 
nilidhani usafiri tz ni wa kisasa jinsi mnavopenda kuponda matatu....sasa nikikuuliza gani bora kati ya matatu na haya mabakuli yaliyo na magurudumu utaniambia nini bro?
BRT usikutoe machozi pls na phase 2 sasa inaanza over 27km hehehe safari hiii kazi munayo😀😀😀😀
 
Kama wale walivyo vamia Police station Dar es salaam ya CBD na kupokonya Jeshi La Polisi bunduki? Kumbuka pia wale wezi wa Kuku State House ya Rais wa Muungano wa Tanzania.
acha porojo leta source, maneno ata kwenya kanga yapo..
 
Poverty reduction in Tanzania remains a challenge. Approximately 68 percent of its 44.9 million citizens live below the poverty line of $1.25 a day and 16 ...
 
according to their cabinet secretary for tourism, mr. najib balala, our beautiful hotels, hospitality and good services is the main reason why they are losing in tourism sector. many tourists prefer visiting tanzania than kenya.
f8e86514cd88fd8914a7231e3b37d74f.jpg
310830171537532d1127fdd3c1313429.jpg
7c53cdc8f9369d159fdaaf8b819038b1.jpg
26d0ed0ea2b22e6beebe68c89a26f1c0.jpg
f68603708d0516ee5bb9ebff87bca53e.jpg
af327652777eb1af12de14b0ac2c3f62.jpg
b7a4248e3a3b619ec25a1e3538e1658f.jpg
efe1b206cbf8aeaa55084c337e343597.jpg
74d61915ed9ef23d7deb3bcdf9f5e57a.jpg
17ae115a6d69b7f32cabc0778e044115.jpg
b2a8f6b40b67c2f6debb112d25c1f7ca.jpg
03f20f9cb7bc7fdb807679f2a5339e65.jpg
8cd1fcbeb0d29b803b2614f91e05e350.jpg
Kwa hizo hotel hainabudi wamwage mihela sio kama Masai Mara naskia kuna hotel hadi za dola 10
 
Back
Top Bottom