Hahahahahahaha umeona uliamshe dude la Wakenya msiwachwe nyuma? Niko na zingine moto moto itabidi mmetoroka kiasi.
ukinionesha indication yoyote kua hapo ni dar nakupa dada yangu bure kabisa😀😀😀😀😀😀woooi kumbe tz watu wana chota maji katika pipa la takataka....😀😀😀😀😀😀![]()
leta picha ya dadako kwanza...pengine sura mbaya unataka kuni con😀😀😀😀ukinionesha indication yoyote kua hapo ni dar nakupa dada yangu bure kabisa😀😀😀😀😀😀
Maumivu gani?? Fiction D😀 😀Poleni kwa maumivu.... Na bado nitawaletea zingine moto kama pasi itabidi mkubali ukweli wangu.

hili jengo mmelipost mpaka naeza kuli chora bila kugelezea sehemu
Kama wale walivyo vamia Police station Dar es salaam ya CBD na kupokonya Jeshi La Polisi bunduki? Kumbuka pia wale wezi wa Kuku State House ya Rais wa Muungano wa Tanzania.Al-Shabaab terrorists kill three teachers at Kenya school
Hivi wakenya mumeshindwa kabisa kuwazuia Alshabaab kuingia Kenya?, RIP teachers
hili jengo mmelipost mpaka naeza kuli chora bila kugelezea sehemu

sasa unatakaje?hili jengo mmelipost mpaka naeza kuli chora bila kugelezea sehemu
tafuta nyumba kama hzi dar ukipata unitag😀😀leta picha ya dadako kwanza...pengine sura mbaya unataka kuni con😀😀😀😀
![]()