thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,557
ni shike nini? nategemea utanijibu kesho ukirudi CBD! sasa hivi upo kwa keja hapo kibera unasubili giza lizidi ukarushe mfuko wa kinyesi hewani..Shika yako pia
![]()

ni shike nini? nategemea utanijibu kesho ukirudi CBD! sasa hivi upo kwa keja hapo kibera unasubili giza lizidi ukarushe mfuko wa kinyesi hewani..Shika yako pia
![]()

Haha mnaniban juu hamuniwezidogo baada ya zile ban mbili mfululizo, umerudi jf ukiwa na adabu.
nachukua fursa hii kukupongeza.
hongera sana kwa kubadilika na kuwa kijana wa kikenya mwenye good altitude.
Stop denying factsDogo hujaja Dar siku nyingi sio mbaya endelea kupost zilipendwa D😀 😀 😀
mmezidi mnadanganya mpaka mna anza kuona uongo ndiyo ukweli!! halafu ww jamaa tafuta manzi kila zikirushwa picha za mademu naona unakuja mbio mbio..wacha tupike tu...kwani ni wewe utakayekula?😀😀😀😀
! mbunguza ufisipicha yako ni manzese foot bridge miaka nane au kumi iliyopita kabla ya BRT.daraja la manzese
![]()

Hahah lies nilikua wasini na diani Dec last year... there is no single pothole... the road is new...Tembea kenya tafadhali.. Nakuru, kisumu, Moyale, Garisa, Kisii... You will learn and see alot.Hujafika Tanzania wewe, njoo ujionee barabara za Bongo, huwa ninazitumia sana barabara za Kenya, Lunga lunga hadi Mombasa ni mashimo matupu
You can try better comparisons.povuuuu.![]()
![]()
![]()
![]()
ni kweli, kwenye kuandika matusi na ujinga hatukuwezi.Haha mnaniban juu hamuniwezi

picha za mwaka 2010.Hizo picha zimeliamsha midude ya Watanzania kweli kweli. Hahahahahahaha I love it.

Babu hakuna Dar ya aina hii![]()
![]()
![]()
![]()
Poleni kwa maumivu.... Na bado nitawaletea zingine moto kama pasi itabidi mkubali ukweli wangu.Dogo hujaja Dar siku nyingi sio mbaya endelea kupost zilipendwa D😀 😀 😀
😀😀😀😀😀😀😀mmezidi mnadanganya mpaka mna anza kuona uongo ndiyo ukweli!! halafu ww jamaa tafuta manzi kila zikirushwa picha za mademu naona unakuja mbio mbio..! mbunguza ufisi
For the first time since nikujue hapa JF uko na hasira na huzuni. Am really sorry for posting the reality on the ground naona hata unakubali hapo ni Dar ila ni 2010... Hahahahahahaha keep ya head up buddy hapa nikutaniana tu.picha za mwaka 2010.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
not sure...i honestly dont know why ppl use floors instead of height...Yeah it would be the second tallest....what of tower 88?..what's the exact height