Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ichoboy kimbia usome kitu mwenzako amesema hapa. Watu ambao hawana ushabiki.
Kwan nani alikataa kama hamjafanya vzr kwenye barabara na hii haina maana kua dar hakuna barabara au hatujengi barabara, tatizo lenu nyinyi munajisahau sana mkajua ni bado ile tz ya 90s kimbe mambo yamebadilika sana😀😀😀

Soma maelezo hayo muone sector zenu Zote zinapumulia ICU
BA616482-219E-4191-8233-5AC8DD953D11.jpeg
 
according to their cabinet secretary for tourism, mr. najib balala, our beautiful hotels, hospitality and good services is the main reason why they are losing in tourism sector. many tourists prefer visiting tanzania than kenya.

NB:
to all the jobless young men in kenya, i'm giving you a good deal. i have no doubt that many of you have been dreaming to date with white girls.so stop dreaming, make your dream real by visiting zanzibar,tanzania.

zanzibar is the only place in EA africa which is being visited by many beautiful white girls from all over the world and from all white races.

it's only zanzibar in EA where you can mingle with these beautiful species and establish a closer relationship with them.
please do not ignore this deal, work on it.

tourists with their loved ones enjoying their quality time in zanzibar.
1b3eeacfa23d70d14440567994fea692.jpg
60dcc46cfa3b3a648da033ffb50d1029.jpg
ca7104fb83e0479c412e5307ea77dae2.jpg
d2f384f464213dff9279b0b77d30c347.jpg
0fa30e55cbaad7e22c39738043e2d934.jpg
ee0c76b7f0df49a0603776d0646f2c1d.jpg
19de0ea29588e75e98d584dddacf4003.jpg
9a18f53f6c6a8b1a6a44509015cd2070.jpg
b1ca1cf26f5a48e03105b3b6326a17c1.jpg
3b11ffe0fa1ec4feab89382d1eff7854.jpg
df006e1f8d3f43a41e2c05d5494195a0.jpg
9791814ffc21b78224268d4bd450d6da.jpg
08c45f625d397f8055d312e152c32c5f.jpg
cb6ce93fac904338698f4e755c60f990.jpg
3aebe37cf950d891f45ee5b014f364fa.jpg
153976af7aa8ad840e8df196ab2ae00b.jpg
ced7e29837ac695f8e3440bf6b67a348.jpg
23fcbd37bdd7fe91caa520810b89e80b.jpg
0bded3a83f04cd31734c785d8f779e52.jpg
i don't like the way you stalk people on their social media pages only to post them here, that's not being respectful of their privacy, i'm sure you should know about this. how would you like your own being posted sir?
 
besides, what point are you trying to proof, that tourists in tz have a good time? how many tourists do we receive in kenya...we dont go stalking them just to post them here
 
Ichoboy kimbia usome kitu mwenzako amesema hapa. Watu ambao hawana ushabiki.
Kama una gari drive from Namanga to Dar then uje Unambie barabara zetu ,Nilikua na wenzenu walisifia sana ,Ubishi pembeni barabara tumejitahidi sana tu...
 
Kama una gari drive from Namanga to Dar then uje Unambie barabara zetu ,Nilikua na wenzenu walisifia sana ,Ubishi pembeni barabara tumejitahidi sana tu...
Kenya haifikii Tanzania kwa barabara nzuri, Kenya inajenga barabara za mijini na kuacha inter counties roads katika hali mbaya sana, Tanzania inajenga barabara za mikoani zaidi kuliko za mijini.
 
kwanini mbona unapost picha za mandume???? 2mbaff.
usisahau kupost madem wa kizanzibar pia
ina maana neno "loved ones" ni gumu kwako kueleweka?.

ulitaka hao watalii madume waende zanzibar kula bata pekee yao bila wapenzi wao?.smh.
 
i don't like the way you stalk people on their social media pages only to post them here, that's not being respectful of their privacy, i'm sure you should know about this. how would you like your own being posted sir?
kama picha na caption ni mbaya, basi fikisha report kwa moderators. wao watachukua jukumu la kuziondoa au kunipa ban.
 
besides, what point are you trying to proof, that tourists in tz have a good time? how many tourists do we receive in kenya...we dont go stalking them just to post them here
wivu utakufanya uwe kichaa buda.
kama unadhani nimeenda kinyume na policy za jf, report me or my post to the moderator,they will delete all photos.
wacha wivu.
 
hizo ni middle class estates za Dar slum and Tanzania in general.....kila mtu anapewa square ya kukita Swahili shack....aka dream house
Huyo popoyo sidhani kama ushawahi fika hata mombasa ushawahi fika pwani gani ina udogo mwekundu
 
besides, what point are you trying to proof, that tourists in tz have a good time? how many tourists do we receive in kenya...we dont go stalking them just to post them here
They see white guys through tourism dont blame them.. Whites have lived in kenya since 1900 and we don't mention.

They have to go to Arusha and Zanzibar to see white bastads..

They forget we have them living in Kenya almost everywhere.. From Malindi, Watamu, Kilifi, Mombasa, Diani, Naivasha,Nakuru,Eldoret, Nanyuki among others.
Nairobi is full of thousands of expats working in United nations and hundreds of Multinational companies not forgetting the colonial masters who never left
 
Back
Top Bottom