tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Iyo Ni Nairobi period
Iyo Ni Nairobi period
These are photos from Kibera, we don't have this types of lives, prove if not Kibera
Anatafuta ushindi kwa nguvuHahaha sikuhz Dar kuna milimajipange tena kijana, hakuna Dar ya namna Iyo

Iyo Ni Nairobi period
Dar hatuna hata kichuguu, achilia mbali hiyo milima inayoonekana hapo. Kenya msijisumbue kuleta picha za slums, Dar hakuna slums kabisa.mnajua kukana kila kitu kama Judas Iscariot haikosi alikuwa mtanzania......mna tanzia tanzia tu
Izo pics za Nai slums period. ..hiyo soil ya grey ni ya Dar slum kabisaa.....Hahaha.watapinga ukweli huo
Usijisahauaccording to their cabinet secretary for tourism, mr. najib balala, our beautiful hotels, hospitality and good services is the main reason why they are losing in tourism sector. many tourists prefer visiting tanzania than kenya.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Huwezi kukuta makazi ya aina hii Tanzania nzima, achilia mbali Dar, hata mikoani hakuna kitu kama hiki, hizi kama sio picha za Kenya, basi ni DRC, au Burundi.hizo ni middle class estates za Dar slum and Tanzania in general.....kila mtu anapewa square ya kukita Swahili shack....aka dream house
Dar ya sasahv Ni safi ,kuna improvement kwenye usafi tena tunawazidi mbali kabisa...bisha kwa7budaraja la manzese
![]()
Lete picha zenye land mark ili tuweze kujua hapo ni wapi, umeamua kupiga picha za Kenya na kuficha land marks ili usingizie Tanzania, utasubiri sana, tabia ya uchafu ipo Nairobidaraja la manzese
![]()
Hatufikirii sawasawa ila tuko na uchumi kubwa kuwaliko. Hatufikirii sawasawa ila miji yetu yamepangija vizuri tena yana umuhimu ukundaa kuliko hizo changaduo zenu. Hatufikirii sawasawa ila tuko na millionaires wengi kuwaliko. Sasa kati ya hawa watu wawili nani hafikirii sawasawa?wasema nairobi kuna estate.
yaani mtu anafurahia kupanga nyumba,sijui kuna tofauti na kulala sebuleni!!!lakini kiukweli hawa majirani hawafikiri sawa sawa.
Mkuu Picha zako Zinanivutia Sana tena SANA
Sasa mnakataa dar es salaam yenu!? Maajabu ya musaIyo Ni Nairobi period
Sasa umeamua kuhamisha slums za nai kuleta dar yani imeamua kutoa magoli😀😀😀Shika yako pia
![]()
Slums za nairobi unatuambia dar haha au ndio mumeamua kukubali mabao😀😀😀Sasa mnakataa dar es salaam yenu!? Maajabu ya musa
Kwani wewe unaona ni wapi? Dar hiyo na zile dream houses zenu na kadodaHebu tueleze hapo ni wapi???😀😀😀