Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuoneshe good side of dar es salaam hii unafanya ni utoto jibaba lizima la 50yrs kuzunguka internet Sikh nzima kutafta negative stories about Kenya.......mbna usiconcentrate na kutonesha good sides of dar es salaam kama wenzako mature kina ndinda na tuusan ama zimeisha
hasira hasara.
 
kariakoo is home to 36,000 people....an overrated piece of place similar to ordinary estates in eastlands......kweli we deserve 30 cbds going by Dar slum levels.......
asante kwa kujipa moyo ..... take heart 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Stay glued for more..

b0372866b75b8929629ee32dbf1f700d.jpg
 
Tuoneshe good side of dar es salaam hii unafanya ni utoto jibaba lizima la 50yrs kuzunguka internet Sikh nzima kutafta negative stories about Kenya.......mbna usiconcentrate na kutonesha good sides of dar es salaam kama wenzako mature kina ndinda na tuusan ama zimeisha
Buda nini mbaya mbona Povuuuu
 
Buda nini mbaya mbona Povuuuu
Hamna povu nashangaa mada oflate imejaa utoto......mwanzo mwanzo ulkua ukiingia unapata mapicha safi ya dar na nai hadi ulkua tu na hamu ya kuingia battle ilkua safi bila huu utoto umejaa siku hizi....ata battle imeacha kuwa dar vs Nairobi
 
ukiondoa issue ya kuuwawa kwa albinos miaka kadhaa iliyopita na pia ukiondoa kuiita tanzania ldc, mkenya hana kitu ambacho anaweza kuizungumzia tanzania vibaya.

sio kwamba hawa muggers hawatafuti habari mbaya za tz, wanatafuta sana ila kila habari wanayoipata ni outdated. haipo kwenye trend.

sisi kila habari mbaya tunazo report kuhusu kenya, karibia zote zipo kwenye trend. mfano issues za ukora katika mitaa ya nairobi. yaani pale nairobi haipiti nusu saa bila kutokea kwa tukio la kikora.

ukiingia tu twitter uka search nairobi, lazima utakutana na bad news ya wakora kupigwa risasi na karao au raia kuuwawa na wakora.

unemployment inaipeleka kenya kubaya sana na hakuna politician anayejari. wanasiasa wao wamekalia kula rushwa, ukabila na ubinafsi.
nairobi ni gangland. ukitembelea ule mji kuwa makini sana.
 
Hamna povu nashangaa mada oflate imejaa utoto......mwanzo mwanzo ulkua ukiingia unapata mapicha safi ya dar na nai hadi ulkua tu na hamu ya kuingia battle ilkua safi bila huu utoto umejaa siku hizi....ata battle imeacha kuwa dar vs Nairobi
unalia nini?... endeleeni kuimba wimbo wa ldc.
 
ukiondoa issue ya kuuwawa kwa albinos miaka kadhaa iliyopita na pia ukiondoa kuiita tanzania ldc, mkenya hana kitu ambacho anaweza kuizungumzia tanzania vibaya.

sio kwamba hawa muggers hawatafuti habari mbaya za tz, wanatafuta sana ila kila habari wanayoipata ni outdated. haipo kwenye trend.

sisi kila habari mbaya tunazo report kuhusu kenya, karibia zote zipo kwenye trend. mfano issues za ukora katika mitaa ya nairobi. yaani pale nairobi haipiti nusu saa bila kutokea kwa tukio la kikora.

ukiingia tu twitter uka search nairobi, lazima utakutana na bad news ya wakora kupigwa risasi na karao au raia kuuwawa na wakora.

unemployment inaipeleka kenya kubaya sana na hakuna politician anayejari. wanasiasa wao wamekalia kula rushwa, ukabila na ubinafsi.
Habari mbaya Tanzania zipo pia nyingi ni vile hatuna huo utoto...leo tu nimeona mahali watanzania wamehukumiwa kunyongwa kule uchina na mtanzania mwingine amekamatwa na heroin sikumbuki nchi...juzi mbunge amepigwa hadi kuuawa si ati habari hazipo zipo tena nyingi ni tuko mature tunajua kila nchi it's challenges
 
Good for Tanzanians but you will never miss bad news..

Kenya is unique, we grow in violence, peace, Elections, slums, hunger...
Nothing hold us back..we are on a roll and nothing will stop us.. Have you ever wondered why the GDP gap between us keep widening?..

You will love to hate us but we will always lead and stand tall because that of the culture that was passed to us..
It is only a crazy person who will be comfortable with GDP while he has nothing to eat.
 
Habari mbaya Tanzania zipo pia nyingi ni vile hatuna huo utoto...leo tu nimeona mahali watanzania wamehukumiwa kunyongwa kule uchina na mtanzania mwingine amekamatwa na heroin sikumbuki nchi...juzi mbunge amepigwa hadi kuuawa si ati habari hazipo zipo tena nyingi ni tuko mature tunajua kila nchi it's challenges
Zilete basi hzo habari tunazingoja
 
Habari mbaya Tanzania zipo pia nyingi ni vile hatuna huo utoto...leo tu nimeona mahali watanzania wamehukumiwa kunyongwa kule uchina na mtanzania mwingine amekamatwa na heroin sikumbuki nchi...juzi mbunge amepigwa hadi kuuawa si ati habari hazipo zipo tena nyingi ni tuko mature tunajua kila nchi it's challenges
hiyo ya uchina ni kweli...hao ni wale watz wanaodhani rais wa tz bado ni jk...nafsi zao hazitaki kuamini kwamba rais wa sasa watz ni jpm-the no nonsense man.
acha wanyongwe huko.

ila ya mbunge kuuwawa hakuna habari kama hiyo...ilete hapa tuthibitishe kama kweli aliyeuwawa ni mbunge.
 
Habari mbaya Tanzania zipo pia nyingi ni vile hatuna huo utoto...leo tu nimeona mahali watanzania wamehukumiwa kunyongwa kule uchina na mtanzania mwingine amekamatwa na heroin sikumbuki nchi...juzi mbunge amepigwa hadi kuuawa si ati habari hazipo zipo tena nyingi ni tuko mature tunajua kila nchi it's challenges
Hakuna mbunge wa upinzani aliepigwa hadi kuuwawa mkuu, ni mwanachama wa chadema ndio ameuwawa.
 
Habari mbaya Tanzania zipo pia nyingi ni vile hatuna huo utoto...leo tu nimeona mahali watanzania wamehukumiwa kunyongwa kule uchina na mtanzania mwingine amekamatwa na heroin sikumbuki nchi...juzi mbunge amepigwa hadi kuuawa si ati habari hazipo zipo tena nyingi ni tuko mature tunajua kila nchi it's challenges
Wacha kuongelea vitu juu juu
nimbuge yupi Kauliwa!!
 
kuuwana ni kitu cha kawaida sana kenya

US raises concern over political violence in Tanzania

FRIDAY FEBRUARY 16 2018

TZ+pic.jpg

Tanzania opposition supporter Reginald Mallya, who was injured. PHOTO | THE CITIZEN

In Summary
  • An opposition leader was killed and a supporter seriously injured this week.

By THE CITIZEN
More by this Author
DAR ES SALAAM

The United States Embassy in Dar es Salaam says it is saddened by reports of kidnapping and violence in Tanzania that have resulted in the death and injury of the opposition leaders.

This week, Mr Daniel John was killed and opposition supporter Mr Reginald Mallya was seriously injured.

OPPOSITION

Mr John, who was local leader of the main Tanzanian opposition party Chadema, was bundled into a car and later found beaten to death, party chairman Freeman Mbowe said Wednesday.

A statement released by the US Embassy in Dar es Salaam on Thursday said politically-related violence in the country was worrying.

“We send our deepest condolences to their family and friends. The rise in politically-related confrontations and violence is concerning, and we call on all parties to safeguard the peace and security of the democratic process, the country, and the Tanzanian people,’’ said the statement.

“We also join Tanzanians in calling for a transparent investigation to hold all perpetrators of violence accountable in accordance with Tanzanian law."
 
Back
Top Bottom