Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😀😀😀😀😀😀😀 sasa hasira ya nn kisa picha moja imekusanya cbd mbili kubwa nairobi

hzo ulizotaja zote ni upuuzi tu😛😛😛😛😛😛

na usifkiri nairobi hatujafika tumetembea sana tu
Ndio nakueleza tembea before uropoke... Westy, Kilimani, ParKLands and to some extent Ngara has agood skyline
 
Keep lying and conforting your self... Follow ndio tujifunze nini.. we gat nothing to learn from LDC
Tanzania watajifunza nini Kenya zaidi ya tasrifa za majambazi kuuliwa na wakora kupora watu hapo Nairobi cbd mchana?, sana sana ni habari za Alshaabab, ajali barabarani, mwanaume kufanya sex na mbuzi, mume kuua familia yake, tribalism, corruption and police killings. What can Tanzanians learn from a failed state?
Kenya ranked as 'failed state'
 
hakuna mtu amekuzuia usifatilie tena kwa serekali ya sasa hvi utaona mengi mazuri😀😀😀😀
Good for Tanzanians but you will never miss bad news..

Kenya is unique, we grow in violence, peace, Elections, slums, hunger...
Nothing hold us back..we are on a roll and nothing will stop us.. Have you ever wondered why the GDP gap between us keep widening?..

You will love to hate us but we will always lead and stand tall because that of the culture that was passed to us..
 
Kenyans are following Tanzanians daily lives more than Tanzanians do for Kenyans
how na nyinyi ndio mmejazana hapa kuingilia kenya juu mko kwa payroll ya serikali yenu.
huwezi pata mkenya kwa thread zenyu but nyinyi hushinda hapa 24/7.
 
picha moja imekusanya kila kitu😀😀😀😀 alaf munatunisha misuli na dar
ceba033805d989b614d110fe20247742.jpg
fbf7ced7bc384297bea2b5a3dcf40f54.jpg
 
Hawa watu wako na wivu sana but si wote...wako kama 10 hivi hapa....hiyo inakuambia wako kazi hapa,kuna mtu anawafund.
 
Good for Tanzanians but you will never miss bad news..

Kenya is unique, we grow in violence, peace, Elections, slums, hunger...
Nothing hold us back..we are on a roll and nothing will stop us.. Have you ever wondered why the GDP gap between us keep widening?..

You will love to hate us but we will always lead and stand tall because that os the culture that was passed to us..
endeleeni kupika GDP naskia mumefika 80b sasa😀😀😀😀😀😀 ongezeni mkaa moto ukolee vzr mupike vzr
 
Tanzania watajifunza nini Kenya zaidi ya tasrifa za majambazi kuuliwa na wakora kupora watu hapo Nairobi cbd mchana?, sana sana ni habari za Alshaabab, ajali barabarani, mwanaume kufanya sex na mbuzi, mume kuua familia yake, tribalism, corruption and police killings. What can Tanzanians learn from a failed state?
Kenya ranked as 'failed state'
Action speaks louder than words... Unafanya nini kenyan news???

Have you ever realised this about Tz; We are building an SGR better than Kenya, we are building Flyovers better than Kenya... Atleast you have something to benchmark with kenya while we don't have.

Lazima tujenge ndio mjenge.. You dream our reality..
 
tazama umbali wa photo alaf hio photo imepigwa almost 10 yrs back kwasababu majengo mengi sana hayapo hapo 😀😀😀😀😀😀😀
9286c3850cb0cf138a5762f3030efeb1.jpg
....hio pia imepigwa 10yrs back?? Haya fair enough tuletee latest photo imepigwa hivi.....ata mtoto mdogo can see Nairobi is miles away from dar. Development dar ipo concentrated at one point which is less than 20% of the whole Dar es salaam
 
There is a cartel of 10 Tanzanians who have decided to live in denial and console themselves that they are somehow catching up with Kenya while in reality tunawapea gap kweli kweli and set to double them in two years. ..dear Tanzanians there's no shortcut just hard work.........mchunge Uganda pia imepata mafuta na inawapigia overtaking signal matakoni penu
 
We love Diamond and Alikiba we have never lied about that.. Diamond is abig star now beyond Africa..

But you will never see kenyan following Tz daily life.
kilaza wewe, kama mainstream media zenyu zina report kuhusu diamond na kiba, wewe ni takataka tu.
 
9286c3850cb0cf138a5762f3030efeb1.jpg
....hio pia imepigwa 10yrs back?? Haya fair enough tuletee latest photo imepigwa hivi.....ata mtoto mdogo can see Nairobi is miles away from dar. Development dar ipo concentrated at one point which is less than 20% of the whole Dar es salaam
narudia kukwambia tazama umbali wa photo ilipopigwa

tazama umbali wa photo two big CBD in one photo

angalia vzr hapa nairobi

ceba033805d989b614d110fe20247742.jpg

dar es salaam only one CBD
17595933_805532132933248_5234746646201368576_n-jpg.696380

17796187_10154295870176712_5327055364087182214_n-jpg.696381
 
Tanzania watajifunza nini Kenya zaidi ya tasrifa za majambazi kuuliwa na wakora kupora watu hapo Nairobi cbd mchana?, sana sana ni habari za Alshaabab, ajali barabarani, mwanaume kufanya sex na mbuzi, mume kuua familia yake, tribalism, corruption and police killings. What can Tanzanians learn from a failed state?
Kenya ranked as 'failed state'
umenyorosha hiyo mutu kwa hii comment.my favorite comment for today.
 
Back
Top Bottom