Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


b0372866b75b8929629ee32dbf1f700d.jpg


Yes,Tanzania is a paradise! Sing kumbaya and live in bliss!

US raises concern over political violence in Tanzania
US raises concern over political violence in Tanzania
 
ukiondoa issue ya kuuwawa kwa albinos miaka kadhaa iliyopita na pia ukiondoa kuiita tanzania ldc, mkenya hana kitu ambacho anaweza kuizungumzia tanzania vibaya.

sio kwamba hawa muggers hawatafuti habari mbaya za tz, wanatafuta sana ila kila habari wanayoipata ni outdated. haipo kwenye trend.

sisi kila habari mbaya tunazo report kuhusu kenya, karibia zote zipo kwenye trend. mfano issues za ukora katika mitaa ya nairobi. yaani pale nairobi haipiti nusu saa bila kutokea kwa tukio la kikora.

ukiingia tu twitter uka search nairobi, lazima utakutana na bad news ya wakora kupigwa risasi na karao au raia kuuwawa na wakora.

unemployment inaipeleka kenya kubaya sana na hakuna politician anayejari. wanasiasa wao wamekalia kula rushwa, ukabila na ubinafsi.
nairobi ni gangland. ukitembelea ule mji kuwa makini sana.
Nairobi kuna biggest slums zaidi ya 10 mathare na nyingine kubwa kubwa hapo unategemea nini.?
 
i have noticed that kenyans are so angry by all the negative news i share about their country.

i apologize for that and promise to never do it again.

this is the last negative news from me about kenya.

e39bd63cf4a1a10cfe355cda9b592d36.jpg
15d456b6aa5fabb28a35098d8fe7a5bb.jpg
 
Habari mbaya Tanzania zipo pia nyingi ni vile hatuna huo utoto...leo tu nimeona mahali watanzania wamehukumiwa kunyongwa kule uchina na mtanzania mwingine amekamatwa na heroin sikumbuki nchi...juzi mbunge amepigwa hadi kuuawa si ati habari hazipo zipo tena nyingi ni tuko mature tunajua kila nchi it's challenges

20AFCFC9-67EA-4F59-9181-F9A4665DA2E2.jpeg
 
i have noticed that kenyans are so angry by all the negative news i share about their country.

i apologize for that and promise to never do it again.

this is the last negative news from me about kenya.

e39bd63cf4a1a10cfe355cda9b592d36.jpg
15d456b6aa5fabb28a35098d8fe7a5bb.jpg
Wanamadeni mpaka kwenye makalio😀😀
Alaf anakuja mpuuzi anaimba GDP imepikwa mpaka inataka kuungua
 
unanishangaza maanake. hivi nikuulize, kati ya investor na infrastructure, ni gani inafaa kuja kwanza?
Kwanza power, power ndio inazungusha dunia hii, cha kushangaza na kuskitisha munataka infastructure wakat nairobi maji hakuna kuna faida gani ya infrastructures wakat huna basic human needs😀😀😀😀😀😀
 
Hehehe Kenya you are lost yaani mnadaiwa mpaka mnatia huruma Hehehe mlipozipeleka hizo pesa zote hakuna kinachoonekana njaa, unemployment, insecurity, debt, poverty bado inazidi kuwatafuna hivi peanut tower imefika wapi itakua na meters ngapi na volume?
 
Kwanza power, power ndio inazungusha dunia hii, cha kushangaza na kuskitisha munataka infastructure wakat nairobi maji hakuna kuna faida gani ya infrastructures wakat huna basic human needs😀😀😀😀😀😀
Asante kwa kunijibu swali langu ipasavyo. Hivi wewe huoni investor katoka Japan kuja kuinvest Kenya, alikuwa hajui kama kuna power au hakuna?
Saa hii ndio unataka kuleta umeme..... umechelewa. Huko tulitoka
 
Back
Top Bottom