Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
tuna shida zetu pia...ila angola sio nchi ya kufananisha na Kenya...kule hela ziko mikononi mwa rais mstaafu na wana wake....kumbuka angola ndio ikona mwanadada tajiri kabisa baranai africa...ni mtoto wa rais mstaafuKwa vile kenya muna maisha mazuri sana😀